Uchumiwakati
JF-Expert Member
- Jul 29, 2020
- 407
- 745
No reforms no election
Ndugu zangu Watanzania,
Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo ukumbi wa mahakama umekuwa ni mdogo ambao hauwezi kubeba watu hata mia moja kwa wakati mmoja .
Na hapohapo bado hujahesabia mawakili wake. Jambo ambalo limekuwa likileta mvutano wa hapa na pale hasa kwa kila mmoja kutaka kuingia ndani ya ukumbi wa mahakama kusikiliza kesi. Kitu ambacho hakiwezekani na kinaleta usumbufu wa kuwazuia watu hasa pale idadi inapokuwa imezidi kiwango kinachotakikana.
Lakini pia hili linaleta msongamano,vurugu, Makele na uvunjifu wa taratibu za kimahakama pamoja na mkusanyiko usio na tija unaoleta usumbufu kwa shughuli zingine zinazopaswa kuendelea na kufanyika kwa utulivu katika eneo husika.
Lakini pia Lissu amegeuza ukumbi wa mahakama kama kijiwe cha kufanyia siasa , kutoa hotuba na kuhutubia Wafuasi wake,kuleta sintofahamu,kuvunja kanuni na taratibu za mahakama kwa kuanza kupiga makelele na kuongea ongea bila utaratibu wala kuheshimu mahakama jambo ambalo limekuwa likiwakwaza wengi sana na kuondoa utulivu mahakamani.japo mahakama ilitoa onyo kwa lissu lakini kwa utovu wake wa nidhamu kuna uwezekano akaendelea na tabia hiyo mbovu.
Lakini pia imeonyesha wazi kuwa kumbe kuendesha kesi kwa njia ya mtandao inawezekana kabisa . na hata Wafuasi wa CHADEMA wameonekana kufurahia kabisa.
Kwa hiyo kwa kuwa Wafuasi wa CHADEMA wanataka kufuatilia kesi hiyo. Na kwa kuwa ukumbi wa mahakama ni mdogo. Na kwa kuwa lissu amekuwa akivunja taratibu nyingi mahakamani kwa makusudi . Naona ni vyema sasa mahakama ikabadilisha utaratibu wa usikilizaji wa kesi na kuanza kusikiliza na kuendesha kesi hiyo kwa njia ya mtandao kwa siku zote za kesi hiyo mpaka itakapofikia tamati na kutolewa hukumu.
Lakini pia jambo hilo litaondoa mvutano ,malalamiko na shutuma za wafuasi wa CHADEMA ambao wamekuwa wakilitupia jeshi la polisi pale wanapokuwa wanahudhuria katika kesi hizo ziku inapokuwa mbele ya mahakama. Hasa pale jeshi la polisi linapokuwa linatekeleza wajibu wake wa kulinda amani,usalama na utulivu eneo la mahakama.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unamfuatilia Lissu kuliko Heche.Ndugu zangu Watanzania,

Viongozi gani hao unaowazungumzia?Viongozi Waoga, Wapinzani Waoga na Wananchi ni Misukule...
Heche ndio kitu ganiUnamfuatilia Lissu kuliko Heche.
Ondoa uchizi wako hapa weweNIKUTUKANE TUSI GANI MUNGU WANGU. GIVE ME 5 MINUTES, NARUDI POTELEA MBALI WANIFUNGIE
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaBado Nawakumbusha tena Uzazi wa mpango ni muhimu sana
Acha ukibaka wewe.Umevimbiwa makatapera?Heche ndio kitu gani
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo VirojaJitahidi Kupunguza Upashkuna,,Kwa Jinsia Me Haipendezi Na Ni Nuksi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo ukumbi wa mahakama umekuwa ni mdogo ambao hauwezi kubeba watu hata mia moja kwa wakati mmoja .
Na hapohapo bado hujahesabia mawakili wake. Jambo ambalo limekuwa likileta mvutano wa hapa na pale hasa kwa kila mmoja kutaka kuingia ndani ya ukumbi wa mahakama kusikiliza kesi. Kitu ambacho hakiwezekani na kinaleta usumbufu wa kuwazuia watu hasa pale idadi inapokuwa imezidi kiwango kinachotakikana.
Lakini pia hili linaleta msongamano,vurugu, Makele na uvunjifu wa taratibu za kimahakama pamoja na mkusanyiko usio na tija unaoleta usumbufu kwa shughuli zingine zinazopaswa kuendelea na kufanyika kwa utulivu katika eneo husika.
Lakini pia Lissu amegeuza ukumbi wa mahakama kama kijiwe cha kufanyia siasa , kutoa hotuba na kuhutubia Wafuasi wake,kuleta sintofahamu,kuvunja kanuni na taratibu za mahakama kwa kuanza kupiga makelele na kuongea ongea bila utaratibu wala kuheshimu mahakama jambo ambalo limekuwa likiwakwaza wengi sana na kuondoa utulivu mahakamani.japo mahakama ilitoa onyo kwa lissu lakini kwa utovu wake wa nidhamu kuna uwezekano akaendelea na tabia hiyo mbovu.
Lakini pia imeonyesha wazi kuwa kumbe kuendesha kesi kwa njia ya mtandao inawezekana kabisa . na hata Wafuasi wa CHADEMA wameonekana kufurahia kabisa.
Kwa hiyo kwa kuwa Wafuasi wa CHADEMA wanataka kufuatilia kesi hiyo. Na kwa kuwa ukumbi wa mahakama ni mdogo. Na kwa kuwa lissu amekuwa akivunja taratibu nyingi mahakamani kwa makusudi . Naona ni vyema sasa mahakama ikabadilisha utaratibu wa usikilizaji wa kesi na kuanza kusikiliza na kuendesha kesi hiyo kwa njia ya mtandao kwa siku zote za kesi hiyo mpaka itakapofikia tamati na kutolewa hukumu.
Lakini pia jambo hilo litaondoa mvutano ,malalamiko na shutuma za wafuasi wa CHADEMA ambao wamekuwa wakilitupia jeshi la polisi pale wanapokuwa wanahudhuria katika kesi hizo ziku inapokuwa mbele ya mahakama. Hasa pale jeshi la polisi linapokuwa linatekeleza wajibu wake wa kulinda amani,usalama na utulivu eneo la mahakama.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwaUnaogopa nini we chura wa mama.
No Reforms No election
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa. Sauti ya wananchi itajulikana katika sanduku la kura

Kwa hiyo wewe umekuwa Mungu mpaka unatoa hukumu?Hivi huwa huogopi Mungu ndugu yangu? Kumbuka yuko ahukumuye kwa haki na naapa siku moja atakuhukumu tena ukiwa kwenye ulimwengu huu huu wa nyama. Amina
Jitahidi utumie busara katika kujenga hojaUwena aibu wee mtu, mbona wenzio wakati mwingine wanakuwa na aibu.
Ukiwa siyo riziki siyo ticket ya kitokuona aibu kabisa.
Jidanganye.Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
Nimekusamehe bure kabisaUshuzi wa mamaqo