Lissu asiwe kichwa cha zege asome alama tuu

Lissu asiwe kichwa cha zege asome alama tuu

Lisu is right.

CCCM haijawahi kuheshimu makubaliano mfano mzuri ni SUK zenji.

KATIBA mpya na Tume huru ya Uchaguzi kwanza, uchaguzi baadae.
 
View attachment 2621847Unajua lissu anajitia hajui kuwa hali iko hivi ...mama samia 2025 hataki kabisa upinzani mkali sasa lissu yeye anakomaa

Mambo tayari yako mezani pale mbeya wataka jimbo sugu apate na tulia apate ukija

Arusha wataka jimbo pia lema apate alipe madeni yake na gambo apate

Kule iringa msigwa nae watamuonea tu huruma

Sasa lissu yeye anajifanya kichwa ngumu ndo maana wenzie wataanza kumpiga nyundo ...maaana wamechoka kukaa mitaani

Lissu yeye anataka katiba ndo mambo mengine yafuate...sasa wenzie wako tayari kwa lolote warudi bungeni

Mfano sugu hela ya kujenga hotel angepata wapi kama sio ubunge sasa sahivi.... sahivi kashaaambiwa njia nyeupe utarudi ...hujimsikia akipiga kelele

Lissu bora tu ukae kimya unaingiza nzi kwenye togwa kina lema watakupiga makofi sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Lissu hela anayo ndo maana ana misimamo.
Twanga kotekote unawasumbua sana sukuma Gang maana nyie ndiyo mumetupwa kabisa kwenye mfumo mnabaki kupiga mayowe kama vyura
 
Mm napenda ccm wawe uncomfortable! Japo chadema wamepoteza uelekeo somehow lisu anajitahidi. Lissu pamoja sana mwamba
 
Back
Top Bottom