PreGE2025 Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma.

Mambo hayo sita ni:
  1. Kuzuia wagombea kupita bila kupingwa.
  2. Kukomesha taratibu za kuwaengua wagombea kiholela.
  3. Kuzuia kuandikishwa kwa watoto kwenye daftari la wapigakura.
  4. Kukomesha vurugu dhidi ya kampeni za upinzani.
  5. Kuwapa uhuru mawakala wa vyama na kuhakikisha ushiriki wao.
  6. Kuepusha uchaguzi unaosababisha vifo na madhara kwa watu.
Lissu amesema mfumo wa sasa unaipendelea CCM na hauwaruhusu wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka. Ametoa mfano wa chaguzi za 2019 na 2020, akidai wagombea wa upinzani walienguliwa bila sababu. Pia amelaani wizi wa kura, akisema matokeo yake ni kupata viongozi wasiokuwa chaguo la wananchi.

Amesisitiza kuwa Chadema haiwezi kushiriki uchaguzi usio wa haki na huru, akisema: “Hatuwezi kwenda machinjioni.”

---

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akiwa Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma amesema ili Chama hicho kishiriki uchaguzi Mkuu ujao, yapo mambo sita muhimu ya kufanyiwa kazi.

Akiendelea na Operesheni yake ya ‘No Reforms, No Election’ inayoendelea Kanda ya Kusini Lissu amesema;

“Katika mapendekezo yetu kulikuwa na mambo sita, hatukuyaanzisha sisi, isipokuwa tumeyapigania kutoka katika Tume ya Jaji Nyalali ambayo ilisema tubadilishe mfumo wetu wa uchaguzi kwa sababu uliopo unapendelea upande mmoja. Lakini imepita miaka 30 bado tunaimba wimbo uleule.

“Tunahitaji kubadilisha mfumo wa uchaguzi kusiwe na mgombea anayepita bila kupingwa, pili hatutaki taratibu za uchaguzi zinazoruhusu wagombea wengine kuenguliwa, tatu hatutaki kuandikishwa watoto wadogo kwenye daftari la kudumu la mpigakura.

“Nne hatutaki kufanyiwa fujo tena kwenye kampeni zetu tunazofanya, tano mawakala wa vyama vyote wawe huru kufanya shughuli zao, ikiwemo kujua kura zao na kama hakuna mawakala uchaguzi usifanyike, sita hatutaki kuona uchaguzi unaotoa kafara za watu ili wapate uongozi,” amesema Lissu.

Mwanasheria huyo amesisitiza bila utaratibu wa uchaguzi kubadilishwa wananchi hawawezi kupata viongozi sahihi watakaowajibika, kuwatetea na kuwasemea changamoto zinazowasibu.

Amesema chaguzi nyingi zinazofanyika zinawanyima wananchi fursa ya kuchagua viongozi, akitolea mfano ule wa serikali za mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilizokipendelea chama tawala na wale wanaotoka vyama vya upinzani wakienguliwa bila sababu za msingi.

Amesema kwa kutambua hilo, tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 vyama vya upinzani havijakaa kimya, vimekuwa vikipigania mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi lakini hadi sasa havijafanikiwa.

Mbali na mambo hayo, Lissu amezungumzia “wizi wa kura unaofanyika kwenye vituo vya kupigia kura”, kuwa pia ni sababu ya kupatikana viongozi ambao si chaguo la wananchi.

“Haiwezekani tena na chaguzi za namna hii, wanaosema twende tu hatuwezi kwenda machinjioni, wanaenda kukata wagombea wetu, mnasema twende tu, hatuwezi kukubali,” amesema.
 
Gentleman,
matakwa binafsi ya huyo tapeli wa kisiasa nchini yapelekwe ubeligiji yalipo makazi yake 🐒
 
Huyo mbwatukaji anaanza kufuata nyayo za G55.
 
Nilikuwa na mheshimu sana lisu kabla ya kuongea huu ujinga..!

Modus operandi anayotumia inaonyesha umahiri wake kisheria umepotea..!
Kwasababu uccm umekuathiri ndio ukamchukia na ccm wote humu mnamchukia kisa tu hakubaliani na hayo mambo ya utumwa.
 
mwaka huu mtasema mengi!

Kimeshaelewaka,

NO REFORMS, NO ELECTIONS!
mihemko haina maana sana,
ni vizur kuzingatia mambo muhimu ninayoeleza humu jukwaani, itakusaiadia sana gentleman 🐒
 
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma.

Mambo hayo sita ni:
  1. Kuzuia wagombea kupita bila kupingwa.
  2. Kukomesha taratibu za kuwaengua wagombea kiholela.
  3. Kuzuia kuandikishwa kwa watoto kwenye daftari la wapigakura.
  4. Kukomesha vurugu dhidi ya kampeni za upinzani.
  5. Kuwapa uhuru mawakala wa vyama na kuhakikisha ushiriki wao.
  6. Kuepusha uchaguzi unaosababisha vifo na madhara kwa watu.
Lissu amesema mfumo wa sasa unaipendelea CCM na hauwaruhusu wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka. Ametoa mfano wa chaguzi za 2019 na 2020, akidai wagombea wa upinzani walienguliwa bila sababu. Pia amelaani wizi wa kura, akisema matokeo yake ni kupata viongozi wasiokuwa chaguo la wananchi.

Amesisitiza kuwa Chadema haiwezi kushiriki uchaguzi usio wa haki na huru, akisema: “Hatuwezi kwenda machinjioni.”

---

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akiwa Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma amesema ili Chama hicho kishiriki uchaguzi Mkuu ujao, yapo mambo sita muhimu ya kufanyiwa kazi.

Akiendelea na Operesheni yake ya ‘No Reforms, No Election’ inayoendelea Kanda ya Kusini Lissu amesema;

“Katika mapendekezo yetu kulikuwa na mambo sita, hatukuyaanzisha sisi, isipokuwa tumeyapigania kutoka katika Tume ya Jaji Nyalali ambayo ilisema tubadilishe mfumo wetu wa uchaguzi kwa sababu uliopo unapendelea upande mmoja. Lakini imepita miaka 30 bado tunaimba wimbo uleule.

“Tunahitaji kubadilisha mfumo wa uchaguzi kusiwe na mgombea anayepita bila kupingwa, pili hatutaki taratibu za uchaguzi zinazoruhusu wagombea wengine kuenguliwa, tatu hatutaki kuandikishwa watoto wadogo kwenye daftari la kudumu la mpigakura.

“Nne hatutaki kufanyiwa fujo tena kwenye kampeni zetu tunazofanya, tano mawakala wa vyama vyote wawe huru kufanya shughuli zao, ikiwemo kujua kura zao na kama hakuna mawakala uchaguzi usifanyike, sita hatutaki kuona uchaguzi unaotoa kafara za watu ili wapate uongozi,” amesema Lissu.

Mwanasheria huyo amesisitiza bila utaratibu wa uchaguzi kubadilishwa wananchi hawawezi kupata viongozi sahihi watakaowajibika, kuwatetea na kuwasemea changamoto zinazowasibu.

Amesema chaguzi nyingi zinazofanyika zinawanyima wananchi fursa ya kuchagua viongozi, akitolea mfano ule wa serikali za mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilizokipendelea chama tawala na wale wanaotoka vyama vya upinzani wakienguliwa bila sababu za msingi.

Amesema kwa kutambua hilo, tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 vyama vya upinzani havijakaa kimya, vimekuwa vikipigania mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi lakini hadi sasa havijafanikiwa.

Mbali na mambo hayo, Lissu amezungumzia “wizi wa kura unaofanyika kwenye vituo vya kupigia kura”, kuwa pia ni sababu ya kupatikana viongozi ambao si chaguo la wananchi.

“Haiwezekani tena na chaguzi za namna hii, wanaosema twende tu hatuwezi kwenda machinjioni, wanaenda kukata wagombea wetu, mnasema twende tu, hatuwezi kukubali,” amesema.
Kura ya mtu ni ya thamani sana(wengine wanatoa rushwa ili waipate),ni muhimu sana kuheshimu za wananchi ili kupata viongozi bora wanaowajibika kwetu(Kiongozi anawajibika kwa aliempa uongozi).Vyombo vya dola siyo nyakati za ujanja ujanja tena hizi,tutumie uchaguzi huu kupata viongozi sahihi kueandana na nyakati zilizopo.
 
Nilikuwa na mheshimu sana lisu kabla ya kuongea huu ujinga..!

Modus operandi anayotumia inaonyesha umahiri wake kisheria umepotea..!
Kwa bichwa hilo na kwa upuuzi huu uliouandika hapa haiwezekani ukawa ulikuwa ukimuheshimu zaidi ya unafiki. Kama hizo hoja sita unaona ni za kipuuzi hustahili kuwa miongoni mwa wapenda haki.
 
Lissu heshima yako chawa kama wewe inamsaidia nini.

Mi sio chawa dingii, kiufupi hakuna mwanasiasa mwenye sera zinazogusa maisha yangu katika dunia hii.

Mi ni mtazamaji tu, nikikosoa kushoto haimanish nipo kulia.

Usiwe na maono ya kuku..!
 
Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma.

Mambo hayo sita ni:
  1. Kuzuia wagombea kupita bila kupingwa.
  2. Kukomesha taratibu za kuwaengua wagombea kiholela.
  3. Kuzuia kuandikishwa kwa watoto kwenye daftari la wapigakura.
  4. Kukomesha vurugu dhidi ya kampeni za upinzani.
  5. Kuwapa uhuru mawakala wa vyama na kuhakikisha ushiriki wao.
  6. Kuepusha uchaguzi unaosababisha vifo na madhara kwa watu.
Lissu amesema mfumo wa sasa unaipendelea CCM na hauwaruhusu wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka. Ametoa mfano wa chaguzi za 2019 na 2020, akidai wagombea wa upinzani walienguliwa bila sababu. Pia amelaani wizi wa kura, akisema matokeo yake ni kupata viongozi wasiokuwa chaguo la wananchi.

Amesisitiza kuwa Chadema haiwezi kushiriki uchaguzi usio wa haki na huru, akisema: “Hatuwezi kwenda machinjioni.”

---

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu akiwa Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma amesema ili Chama hicho kishiriki uchaguzi Mkuu ujao, yapo mambo sita muhimu ya kufanyiwa kazi.

Akiendelea na Operesheni yake ya ‘No Reforms, No Election’ inayoendelea Kanda ya Kusini Lissu amesema;

“Katika mapendekezo yetu kulikuwa na mambo sita, hatukuyaanzisha sisi, isipokuwa tumeyapigania kutoka katika Tume ya Jaji Nyalali ambayo ilisema tubadilishe mfumo wetu wa uchaguzi kwa sababu uliopo unapendelea upande mmoja. Lakini imepita miaka 30 bado tunaimba wimbo uleule.

“Tunahitaji kubadilisha mfumo wa uchaguzi kusiwe na mgombea anayepita bila kupingwa, pili hatutaki taratibu za uchaguzi zinazoruhusu wagombea wengine kuenguliwa, tatu hatutaki kuandikishwa watoto wadogo kwenye daftari la kudumu la mpigakura.

“Nne hatutaki kufanyiwa fujo tena kwenye kampeni zetu tunazofanya, tano mawakala wa vyama vyote wawe huru kufanya shughuli zao, ikiwemo kujua kura zao na kama hakuna mawakala uchaguzi usifanyike, sita hatutaki kuona uchaguzi unaotoa kafara za watu ili wapate uongozi,” amesema Lissu.

Mwanasheria huyo amesisitiza bila utaratibu wa uchaguzi kubadilishwa wananchi hawawezi kupata viongozi sahihi watakaowajibika, kuwatetea na kuwasemea changamoto zinazowasibu.

Amesema chaguzi nyingi zinazofanyika zinawanyima wananchi fursa ya kuchagua viongozi, akitolea mfano ule wa serikali za mitaa wa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilizokipendelea chama tawala na wale wanaotoka vyama vya upinzani wakienguliwa bila sababu za msingi.

Amesema kwa kutambua hilo, tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 vyama vya upinzani havijakaa kimya, vimekuwa vikipigania mabadiliko ya mifumo ya uchaguzi lakini hadi sasa havijafanikiwa.

Mbali na mambo hayo, Lissu amezungumzia “wizi wa kura unaofanyika kwenye vituo vya kupigia kura”, kuwa pia ni sababu ya kupatikana viongozi ambao si chaguo la wananchi.

“Haiwezekani tena na chaguzi za namna hii, wanaosema twende tu hatuwezi kwenda machinjioni, wanaenda kukata wagombea wetu, mnasema twende tu, hatuwezi kukubali,” amesema.
 
Attachments

  • 5986551-61f1b67f23255f4739f868aa266c64cb.mp4
    161.7 KB
Back
Top Bottom