PreGE2025 Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa bichwa hilo na kwa upuuzi huu uliouandika hapa haiwezekani ukawa ulikuwa ukimuheshimu zaidi ya unafiki. Kama hizo hoja sita unaona ni za kipuuzi hustahili kuwa miongoni mwa wapenda haki.

Modus operandi anayotumia lisu ni ya kitoto sana, inaonekana amedorora kisheria.

Kiufupi ili kutibu mambo yote anayolalamika lisu, ilimpasa asimamie constitutiona reforms. Huwez pata free and fair politics kama katiba ambayo ndo enabling act ya INEC haijabadilishwa.

Ukiongelea haki, hizo ndo mambo nadili nazo. Ndo mana nasema hii mantra ya lisu ni garbage.
 
Gentleman,
matakwa binafsi ya huyo tapeli wa kisiasa nchini yapelekwe ubeligiji yalipo makazi yake 🐒
Unaweza kuta mada yenyewe hujasoma..kama hukubaliani na yaliyosemwa hapo juu basi wewe ni mpimbavu au roboti
 
Hao anawaambia kama vile awajui kindaki ndaki, kwani jamaa kashawasahau?
 
Huyu jamaa ni mchumia tumbo na mbinafsi sana anazungumzia uchaguzi tu hazingumzi atawafanyia Nini WATANZANIA akishika dola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…