Hujui kitu, Shut Up! Boniyai ni Mwenyekiti wa Kanda, Maranja ni Ofisa wa Juu wa Chadema official, Erythrocyte ni Mfadhili wa Chama, Hakuna Tajiri awezaye kuwa ChawaKwani wewe ulifikiri kina MMM, Boniyai na Erythrocyte ni kina nani, ni machawa kama hawa wa ccm tu tofauti ni vyama.
Lissu is right on point!
Tafuta kazi yakufanya mkuuHakika, Mbowe akalime parachichi huko Machame
::::::::::HATA BANDIKO LA SLOGAN NYUMA YA LISSU LINALETA TUMAINI JIPYA!
Mkuu unamuunga mkono Lissu au Mbowe ?Hujui kitu, Shut Up! Boniyai ni Mwenyekiti wa Kanda, Maranja ni Ofisa wa Juu wa Chadema official, Erythrocyte ni Mfadhili wa Chama, Hakuna Tajiri awezaye kuwa Chawa
Naiunga mkono Chadema, Kuna Mengi yanakuja ya kushangaza sana ambayo wadau mtaendelea kushangaaMkuu unamuunga mkono Lissu au Mbowe ?
Kwahiyo na wewe ni tajiri?Hujui kitu, Shut Up! Boniyai ni Mwenyekiti wa Kanda, Maranja ni Ofisa wa Juu wa Chadema official, Erythrocyte ni Mfadhili wa Chama, Hakuna Tajiri awezaye kuwa Chawa
Namuunga mkono hoja yake.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha...
Sijajua kama ni tajiri ila ni Mfadhili wa Chadema, nimeandika mara kadhaa humu kwamba mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa nina miliki kiwanda nchini TanzaniaKwahiyo na wewe ni tajiri?
Huna tofauti na mwashambwa
Erythrocyte Chakaza brazajWakuu,
Kumbe kulikuwa na uchawa pia ndani ya CHADEMA na mlikuwa hamsemi?
Akiwa anaongea leo wakati anatangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA, Lissu amesema kuwa utaratibu wa sasa wa CHADEMA wa kutokuwa na ukomo wa madaraka kwa baadhi ya viongozi unatoa nafasi ya kuwepo kwa machawa ndani ya chama hicho.
================================
Kwa hiyo ndani ya CHADEMA nani ni chawa wa Mbowe?
View attachment 3175140
Unaifadhili chadema kwenye nyanja gani kama ni pesa si wanapokea ruzuku za kutosha?Sijajua kama ni tajiri ila ni Mfadhili wa Chadema, nimeandika mara kadhaa humu kwamba mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa nina miliki kiwanda nchini Tanzania
Unayenifananisha naye ni wapi aliwahi kusema naye ni Tajiri? au umeamua tu kunitukana?
Kuna mawili, akae pembeni chama kijijenge upya au ndio chama kife kabisa.BILA KUPEPESA MACHO MBOWE KAA PEMBENI KWA SASA,
#Asante kwa mpaka ulipo kifikisha chama.
HONGERA
N. B, mbowe atakapoondoka wengi watarejea chadema na itakuwa hai tena.
::::::::::
Ni heshima kwa mbowe kusema sigombei tena nangatuka napisha wengine!
Wewe ni chawa tuHujui kitu, Shut Up! Boniyai ni Mwenyekiti wa Kanda, Maranja ni Ofisa wa Juu wa Chadema official, Erythrocyte ni Mfadhili wa Chama, Hakuna Tajiri awezaye kuwa Chawa
Kunifananisha na nisiofanana nao unakosea sana, mbona matusi ni mengi sana, nitukaneni matusi mapya basi jamaniUnaifadhili chadema kwenye nyanja gani kama ni pesa si wanapokea ruzuku za kutosha?
Afadhali umemuelezaKwahiyo na wewe ni tajiri?
Huna tofauti na mwashambwa