Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Kuna kitu kinanikwamisha mimi nisiwe milionea,kitu hicho ni kuweka ela bank alafu naweza kutoa hata kupitia simu na ndio hicho wanachokifanya serikali, wananchi asilimia kubwa tuna amini serikali ndio wauwaji na ndio haohao wajichunguze na waje na majibu ya kuridhisha na kututoa machozi ya furahaHivi karibuni tuvute subra
:Nimekuwa nikifiatilia kauli za Lissu mara kadhaa na kujikuta nabaki na mshangao mkubwa.
Lissu mara kadha amekuwa akiwashambulia viongozi wenzake ndani ya chama bila ushahidi wenye mashiko.
Kelele za fedha za Abdul na Mama Abdul zimekuwa silaha kubwa ya Lissu kupigania nafasi ya Mwenyekiti taifa.
Mwanzoni mtuhumiwa mkuu alikuwa Wenje lakini baadae akapanua uwigo wa kuwaingiza viongozi au wanachama wote wasiokuwa upande wake.
Kabla habari za fedha za Abdul na Mama yake hazijapoa kaja na taarifa za aliyempatia habari kuhongwa viongozi wa Chadema ni Mjumbe wa Kamati Kuu lakini sasa ni Marehemu !.Hapo hapo hataki kumtaja jina kawaachia kitendawili chepesi mashabiki wake.
Lissu ni mwanasheria anajua kumtaja jina mhuhusika (Marehemu) kungemlazimisha kisheria kuitwa kutoa ushahidi.Alichokifanya ni kutoa maelezo ambayo wafuatiliaji au mashabiki wataelewa mhusika ni nani bila kuumiza akili lakini hapo hapo bila kulazimika kuingia katika mitego ya kisheria.
Pengine hii naweza kusema hapa ndipo ilipo tofauti kubwa baina ya Lissu na Lyatonga Mrema.Huwezi kumshtaki kwasababu hajataja jina wala sababu za kifo lakini hapo hapo anaendelea kumchafua mpinzani wake ndani ya chama pengine mpinzani wake mwingine nje ya chama (anatengeneza mtaji wa mashabiki)
Week moja iliyopita alikuja na suala la yeye kuumizwa na serekali halafu zigo adondoshewe Mbowe.Karejesha fomu za kugombea uenyekiti huku kavaa nguo za kujikinga na risasi.Hiyo ni sehemu ya kampeni ndani ya chama na nje ya chama.
Mpaka tarehe 25 Jan 2025 nategemea washindani wake wengi ndani ya chama (FAM) na nje ya chama (Mama Abdul) watakuwa wamevurumishiwa zigo la tuhuma za kutosha.
Ngongo kwasasa Kogatende.
Usiwe mjinga Saed Kubenea akiwa Chadema alishasema anakutanaga na Ben Saanane Mahali Fulani anasoma Magazeti " maktaba"Embu twende taratibu,
1. Mzee Kibao anaweza kuwa implicated kwenye Rushwa anayosema Lissu ili afanyeje, alikuwa hajulikani, sasa yeye angehusishwa ili asifanye kitu gani?
2.Mzee Kibao ameuwawa hadharani, je TL alimwambia nani kwamba mzee Kihao ndio kamwambia kuhusu hiyo rushwa.
3. Hiyo Rushwa ni fedha kias gani ambazo mtu anaweza tembea nazo kwa wakati mmoja akagawa kwa kila mjumbe wa KK
4.Mzee Kibao akamwambia TL hapo hapo na yeye TL akafuatwa kuhongwa, na wakati huo huo Wenje akamwambia wengine wengi wamepewa na wameshachukua ni wewe tu umebaki..... Kama ilikuwa open kias hicho Mzee Kibao anahusikaje na kumueleza yote hayo .. how can you tell me the obvious na bado iitwe siri.
5.Ukimya wa FAM na team yake ni ili kukinusuru Chama, TL anaongea mengi ya kuchafua wengine ili apate uenyekiti na nini cha zaidi
6.Hao CDM wangekuwa na mahusiano ya kirafiki namna hiyo na utawala huu kama TL anavyo potray, kulikuwa na haja kubwa kias gani kwenye uvhaguzi wa SM watu wauwawe, na watu wao waenguliwe na kunyimwa nafasi kwa nguvu na mtutu wa bunduki.
7. Baada ya yote haya, aim ya TL ni nini? Avurugr wakose wote alafu akimbilie Belgium?
8.TL anatumia weakness ya CDM kuwa complicancy kwenye mambo mengi yabayowaumiza kama excuse kwamba wamekula rushwa?
9.Rushwa anayosema TL ina gapes nyingi na time... Kwanin ilimchukua muda mrefu sana kuja kusema hayo na kusingizia kwamba alikiwa anakusanya ushahidi... Ushahidi gani na weww ndio victim namba 1?
10.Kuna hatua yeyote alichukua baada ya yote hayo? Zaid ya kusema kwenye majukwaa na kuleta mambo hayo wakati huu wa uchaguzi?
11.Wengine anaowajua waliohongwa mbona hawasemi?
Mwanasiasa mkweli na mmiliki wa ukweli wa kizazi chetu...
Muda utasema.
Wewe Unadhani aliyepiga Risasi miguuni alishindwa kupiga kichwani? πππNafahamu sana hata wewe nahisi lakini ngoja ninyamaze.
Mwalimu Wenje
Suala la Lissu kupigwa risasi 16 bado yuko mpaka leo ulikuwa uamuzi wa Mungu si Mwanadamu.Wewe Unadhani aliyepiga Risasi miguuni alishindwa kupiga kichwani? πππ
Merry Christmas πΉ
Naona umeelezea Wasifu wa Mbowe na utawala wake wa hiyo miaka 20 πππSuala la Lissu kupigwa risasi 16 bado yuko mpaka leo ulikuwa uamuzi wa Mungu si Mwanadamu.
Magufuli alipanga kuitawala Tanganyika labda miaka 20 au zaidi,aliiba kura alitengeneza mipango mingi labda miaka 30 mbele leo Mama Abdul ni Rais yeye yuko chini.
Naamini Mungu ni kila kitu,unaweza kupanga yako Mungu asipokuwa upande wako unajisumbua bure.
Story za vijiwe nongwa TL anaongea kwenye serious discussion na InterviewsUsiwe mjinga Saed Kubenea akiwa Chadema alishasema anakutanaga na Ben Saanane Mahali Fulani anasoma Magazeti " maktaba"
Haya family ya Wangwe ilieleza Chacha alilazimishwa kusafiri ilhali alikuwa anaumwa Malaria na amemeza tembe za tiba
Sasa RC Chalamila ni muhehe yule nyekundu kwake siyo nyeupe
Merry Christmas πΉππ
Mwalimu Wenje
Siku si nyingi.Inatoka lini, mkuu?
Mkuu,Mkuu, uko na ushahidi wowote kuhusu hii ripoti? Je, umeshaiona tayari au wewe ni miongoni mwa waandaji?
Maana hapo juu umetoka kumtuhumu TAL kwamba anazua mambo bila ushahidi.
Wewe Lisu umemjua Juzi tuStory za vijiwe nongwa TL anaongea kwenye serious discussion na Interviews
TL ni mtu hatari kumuamini asilimia 100
Huwezi Kupata mabadiliko Tanzania kwenye kizazi chenu cha Machawa, never πΌNapenda mabadiliko lakini Lissu si sahihi.
Kwenye kiapo chake alisema hatatoa SIRI za Serikali. Njia aliyopitia Mgimwa sio nyepesi kuikubali kizembeUsiwe mjinga Saed Kubenea akiwa Chadema alishasema anakutanaga na Ben Saanane Mahali Fulani anasoma Magazeti " maktaba"
Haya family ya Wangwe ilieleza Chacha alilazimishwa kusafiri ilhali alikuwa anaumwa Malaria na amemeza tembe za tiba
Sasa RC Chalamila ni muhehe yule nyekundu kwake siyo nyeupe
Merry Christmas πΉππ