Embu twende taratibu,
1. Mzee Kibao anaweza kuwa implicated kwenye Rushwa anayosema Lissu ili afanyeje, alikuwa hajulikani, sasa yeye angehusishwa ili asifanye kitu gani?
2.Mzee Kibao ameuwawa hadharani, je TL alimwambia nani kwamba mzee Kihao ndio kamwambia kuhusu hiyo rushwa.
3. Hiyo Rushwa ni fedha kias gani ambazo mtu anaweza tembea nazo kwa wakati mmoja akagawa kwa kila mjumbe wa KK
4.Mzee Kibao akamwambia TL hapo hapo na yeye TL akafuatwa kuhongwa, na wakati huo huo Wenje akamwambia wengine wengi wamepewa na wameshachukua ni wewe tu umebaki..... Kama ilikuwa open kias hicho Mzee Kibao anahusikaje na kumueleza yote hayo .. how can you tell me the obvious na bado iitwe siri.
5.Ukimya wa FAM na team yake ni ili kukinusuru Chama, TL anaongea mengi ya kuchafua wengine ili apate uenyekiti na nini cha zaidi
6.Hao CDM wangekuwa na mahusiano ya kirafiki namna hiyo na utawala huu kama TL anavyo potray, kulikuwa na haja kubwa kias gani kwenye uvhaguzi wa SM watu wauwawe, na watu wao waenguliwe na kunyimwa nafasi kwa nguvu na mtutu wa bunduki.
7. Baada ya yote haya, aim ya TL ni nini? Avurugr wakose wote alafu akimbilie Belgium?
8.TL anatumia weakness ya CDM kuwa complicancy kwenye mambo mengi yabayowaumiza kama excuse kwamba wamekula rushwa?
9.Rushwa anayosema TL ina gapes nyingi na time... Kwanin ilimchukua muda mrefu sana kuja kusema hayo na kusingizia kwamba alikiwa anakusanya ushahidi... Ushahidi gani na weww ndio victim namba 1?
10.Kuna hatua yeyote alichukua baada ya yote hayo? Zaid ya kusema kwenye majukwaa na kuleta mambo hayo wakati huu wa uchaguzi?
11.Wengine anaowajua waliohongwa mbona hawasemi?
Mwanasiasa mkweli na mmiliki wa ukweli wa kizazi chetu...
Muda utasema.