Lissu atasema chochote malengo yake yatimie.

Ngoja safu iwe hivi:

1. Mbowe ( mwenyekiti tspeli la siasa)
2. Wenje ( makamu mwenyekiti..dalali la siasa)

3. Mnyika ( katibu mtia saini wa tapeli la siasa)
Mnangojewa mtoe matusi bado hamjamaliza matusi yote.

Siasa ni sayansi

Mnamjaza mwenzenu anakurupuka na kuropoka huku na huko
 
Bado sijaona wa kumfikia Lissu kwa kuropoka.
 
Nimekuwa nikifiatilia kauli za Lissu mara kadhaa na kujikuta nabaki na mshangao mkubwa.

Lissu mara kadha amekuwa akiwashambulia viongozi wenzake ndani ya chama bila ushahidi wenye mashiko.

Kelele za fedha za Abdul na Mama Abdul zimekuwa silaha kubwa ya Lissu kupigania nafasi ya Mwenyekiti taifa.
Mwanzoni mtuhumiwa mkuu alikuwa Wenje lakini baadae akapanua uwigo wa kuwaingiza viongozi au wanachama wote wasiokuwa upande wake.

Kabla habari za fedha za Abdul na Mama yake hazijapoa kaja na taarifa za aliyempatia habari kuhongwa viongozi wa Chadema ni Mjumbe wa Kamati Kuu lakini sasa ni Marehemu !.Hapo hapo hataki kumtaja jina kawaachia kitendawili chepesi mashabiki wake.

Lissu ni mwanasheria anajua kumtaja jina mhuhusika (Marehemu) kungemlazimisha kisheria kuitwa kutoa ushahidi.Alichokifanya ni kutoa maelezo ambayo wafuatiliaji au mashabiki wataelewa mhusika ni nani bila kuumiza akili lakini hapo hapo bila kulazimika kuingia katika mitego ya kisheria.

Pengine hii naweza kusema hapa ndipo ilipo tofauti kubwa baina ya Lissu na Lyatonga Mrema.Huwezi kumshtaki kwasababu hajataja jina wala sababu za kifo lakini hapo hapo anaendelea kumchafua mpinzani wake ndani ya chama pengine mpinzani wake mwingine nje ya chama (anatengeneza mtaji wa mashabiki)

Week moja iliyopita alikuja na suala la yeye kuumizwa na serekali halafu zigo adondoshewe Mbowe.Karejesha fomu za kugombea uenyekiti huku kavaa nguo za kujikinga na risasi.Hiyo ni sehemu ya kampeni ndani ya chama na nje ya chama.

Mpaka tarehe 25 Jan 2025 nategemea washindani wake wengi ndani ya chama (FAM) na nje ya chama (Mama Abdul) watakuwa wamevurumishiwa zigo la tuhuma za kutosha.

Ngongo kwasasa Kogatende.
Lissu hafai CDM.
 
Watajuana na mambo yao ya kutafuta ugali mkuu...

Hakuna mtu makini anaweza kuwa rafiki na mtu anaeropoka muda wowote chochote.

Usiamini wanasiasa kirahisi, hoji..
Kwa kampeni chafu watasema TL anaropoka lakini ukiambiwa hapa ni kitu gani ameropoka hupati jibu. Ni fulani kamwambia huyu na huyu kalibeba pengine kwa maslahibinafsi.

Ila TL hana kosa na yuko sahih
 
Tusubiri baada kugaragazwa kwenye uchaguzi na Mbowe atakavyoanza kulialia kaibiwa kura
 
Mpaka tarehe 25 Jan 2025 nategemea washindani wake wengi ndani ya chama (FAM) na nje ya chama (Mama Abdul) watakuwa wamevurumishiwa zigo la tuhuma za kutosha.

Ngongo kwasasa Kogatende.
Waachie hao wanao zisikia tuhuma hizo watumie akili zao kuamua kama zina mashiko au hazina mashiko.
Cha kushangaza ni kwa vipi wewe usiye amini chochote juu ya shutuma hizo iwe nongwa kwa Tundu Lissu kuzitoa nje!
 
Rushwa anapinga na kupambana na rushwa tu,na ni sawa kabisa.Utagundua Lisu hana mwendelezo mwingine,ni kama kuingia uwanjani na goli kipa peke yake.Lisu hana mtu aliyefanya mema kwenye chama chake ila yeye na wanaomshabikia tu.Hakuna kitu kibaya kama kutukana Sufuria iliyokupikia chakula.Ukala na ukapata nguvu za kuitukana.
 
Mzee kibao sio mtu wa mambo ya mitandaoni, sio msemaji wala mtukanaji , nini kilipelekea kutekwa ?
Kuna mtu baada ya kukosa cheo akaondoka CDM kwa simanzi- ndiyo mchoma utambi - akamchoma mzee wa watu na baadhi ya vijana ambao hawajukikani walipo.
 
Nimekuwa nikifiatilia kauli za Lissu mara kadhaa na kujikuta nabaki na mshangao mkubwa.

Lissu mara kadha amekuwa akiwashambulia viongozi wenzake ndani ya chama bila ushahidi wenye mashiko.

Kelele za fedha za Abdul na Mama Abdul zimekuwa silaha kubwa ya Lissu kupigania nafasi ya Mwenyekiti taifa.
Mwanzoni mtuhumiwa mkuu alikuwa Wenje lakini baadae akapanua uwigo wa kuwaingiza viongozi au wanachama wote wasiokuwa upande wake.

Kabla habari za fedha za Abdul na Mama yake hazijapoa kaja na taarifa za aliyempatia habari kuhongwa viongozi wa Chadema ni Mjumbe wa Kamati Kuu lakini sasa ni Marehemu !.Hapo hapo hataki kumtaja jina kawaachia kitendawili chepesi mashabiki wake.

Lissu ni mwanasheria anajua kumtaja jina mhuhusika (Marehemu) kungemlazimisha kisheria kuitwa kutoa ushahidi.Alichokifanya ni kutoa maelezo ambayo wafuatiliaji au mashabiki wataelewa mhusika ni nani bila kuumiza akili lakini hapo hapo bila kulazimika kuingia katika mitego ya kisheria.

Pengine hii naweza kusema hapa ndipo ilipo tofauti kubwa baina ya Lissu na Lyatonga Mrema.Huwezi kumshtaki kwasababu hajataja jina wala sababu za kifo lakini hapo hapo anaendelea kumchafua mpinzani wake ndani ya chama pengine mpinzani wake mwingine nje ya chama (anatengeneza mtaji wa mashabiki)

Week moja iliyopita alikuja na suala la yeye kuumizwa na serekali halafu zigo adondoshewe Mbowe.Karejesha fomu za kugombea uenyekiti huku kavaa nguo za kujikinga na risasi.Hiyo ni sehemu ya kampeni ndani ya chama na nje ya chama.

Mpaka tarehe 25 Jan 2025 nategemea washindani wake wengi ndani ya chama (FAM) na nje ya chama (Mama Abdul) watakuwa wamevurumishiwa zigo la tuhuma za kutosha.

Ngongo kwasasa Kogatende.
Lissu anajua sana kuwa wanaomuunga mkono ni wajinga ndio maana anawajaza ujinga nao kama nyumbu wanakubali kila kitu. Mbowe, Boni Yai, Sugu, Mnyika wako kimya kwasababu wanamjua Lissu ni mwehu na dawa ya mwehu ni kumkalia kimya.
 
Back
Top Bottom