Lissu atasema chochote malengo yake yatimie.

Mke, shemeji. Ukute hata hilo tumbo la kuhara lissu ilikuwa sumu aliyokuwa kaonjeshwa na madalali hao hao, kwa ulimi.

Wenje VS Lissu?

Ni mpumbafu tu anayeweza kuwa upande wa Wenje!

Cc: Mpwayungu Village
Ngoja safu iwe hivi:

1. Mbowe ( mwenyekiti tspeli la siasa)
2. Wenje ( makamu mwenyekiti..dalali la siasa)

3. Mnyika ( katibu mtia saini wa tapeli la siasa)
 
Rushwa sio posho kuwa inatolewa hadharani, Hata kama ingekuwa kweli Lissu hawezi kujua nani kala rushwa na ni kiasi gani kwa sababu rushwa ni one by one na ni siri.

Tuhuma za rushwa huwa mara nyingi ni hisia na uzushi. Huyo mtu aliyemwambia Lissu kuhusu hizo rushwa yeye alipata wapi hizo taarifa ? alikuwepo anashuhudia au naye alihadithiwa?

Niliwahi kusema humu katika moja ya nyuzi zangu jf kabla ya hata huu mtafaruku haujaanza kuwa kwa kauli ya Lissu alinukuliwa akisema kuwa: ' CHADEMA siyo mama yangu" nilisema kuwa Lissu kuhama CHADEMA ni suala la muda tu.

Kwa haya ni wazi Lissu anajua hashindi uchaguzi na atahama ila anataka kuibomoa CHADEMA pengine kwa sababu naye alishiriki kuijenga hivyo wote (Lissu na Mbowe) wakaanze upya kujenga vyama.
 
Hata wewe pia upo kwenye kampeni dhidi ya TL, ni aibu na mshangao aima ya minyukano inayotokea CDM kwenye hizi chaguzi.

Tumemsikia Yericho Nyerere akitoa tuhuma kwa TL, tumemsikia ex mayor Boniface or boniyai akitoa tuhuma kwa TL, tumemsikia Ezekiel Wenje akitoa shutuma na tuhuma kwa TL kwa nini wewe uone anazotoa TL tu?

Hapa inaonyesha kuna utawala wa kiimla maana kama hakuna maslahi binafsi kwa nini mtu na timu yake ya wapambe wapambane kwa mbinu zote hata kuachana uchi kila upande ukijitahidi kurarua upande mwingine?

Nionavyo hii ni dalili za immaturity lakini hii ikitumika kama shule wakipita hapa itakuwa lesson
 
TL aisee . Ni bonge moja la mbangaizaji... Tulichelewa kumjua.

Kwa hiyo Kauli ya CDM sio mama yake nilijua tayari amejipanga kuondoka..

Kimwili yupo CDM ila kiakili ameshaandaa Chama cha kwenda kukivuruga tena, bahati mbaya si muda mrefu sana rangi zake asili zitawekwa hadharani.

Anadhani ataish kwa Michango na Fadhila za Diaspora kila mara...

Mtu mzima kuish kwa kuomba omba ni tabia chafu sana... Wakishindwa kumbeba watambwaga, na wasipotimiza malengo yao watamchafua kwa njia hii hii anayotumia kuchafua wengine
 

Ingekua busara sana ungejibu hoja zake badala ya haya marudio, washayaleta sana chawa waliotangulia
 
Mimi sipo kwenye Kampeni na silipwi pesa mbuzi, im just speaking my mind...

Mtu mzima na akili zake kuwadanganya watu wazima kwa njia ya kuwachafua wenzake sio sawa hata kidogo ..

Akiwa Mwenyekiti nini kitatokea cha ziada ambacho kwa sasa akiwa Makamu anashindwa kufanya?

Mpaka uondoe Credibility ya wenzako walioijenga kwa Miongo na Mikaka...

Hapo ni Kampeni au kukataa kufikiri kama mbuzi
 
Maneno mazito sana.
 
Kinachofikirisha ni kwamba nimekupa orodha ya hao ambao nao wanatoa kampeni chafu dhidi ya TL, mbona huwazungumzii au hao wana haki tofauti sababu wanafurahisha moyo wako?

You might be speaking your mind but very biased, kemea pande zote zinazotumia mbinu ya kuharibiana credibility. Uongozi siyo ufalme kama kweli CDM wanahubiri demokrasia, ukiwakemea akina Yericho Nyerere na akina Wenje utaonekana una kitu, otherwise na wewe umekataa kufikiri kama mbuzi
 
Toka siku ya mwanzo alipoeleza kuwa Wenje alimleta Abdul kwake kwa nia ya kumhonga asimseme vibaya mama Abdul, Lisu alieleza kuwa alikuwa ameambiwa kuwa kuna viongozi wenzake waliolikubali hilo ombi, na kwamba sasa mambo yao ya kifedha yapo vizuri. Akatajiwa orodha ya viongozi wenzake ambao tayari walikuwa wamekwishachukua pesa.
 
🫵🥲🥲🥲
 
Sasa Yerico, Sijui yule bwana wa Shinyanga ni watu wa kuchukua attention yako kweli?
Wenje ni rafiki wa TL na alikuwa akijibu tuhuma, sijaona tusi au credibility aliyompunguzia.... Labda unioneshe wewe.
 
Sasa Yerico, Sijui yule bwana wa Shinyanga ni watu wa kuchukua attention yako kweli?
Wenje ni rafiki wa TL na alikuwa akijibu tuhuma, sijaona tusi au credibility aliyompunguzia....
Kama Wenje ni rafiki yake kwa nini atoe tuhuma na TL akazijibu?
 
Great !!
 
Kama Wenje ni rafiki yake kwa nini atoe tuhuma na TL akazijibu?
Watajuana na mambo yao ya kutafuta ugali mkuu...

Hakuna mtu makini anaweza kuwa rafiki na mtu anaeropoka muda wowote chochote.

Usiamini wanasiasa kirahisi, hoji..
 
Kampeni ni kuchafuana tu namwenye kujuwa ya mwenzie ndiyo wakati wa kuyamwaga. Makamu mwenyekiti na mwenyekiti naona kama wote niwamoja tu inakuwaje mmoja alenamwingine asile. Wote walewale tuheshimu chama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…