Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Yuko nchini, mbinguni na kwenye mioyo ya watanzania.Lissu hivi yupo nchini?
Lissu alitakiwa awe tayari yuko Tanzania. Sioni sababu kwanini ana chelewa hivyo kurudi..
Propaganda na Hali halisi ni vitu viwili tofautiKama ni kweli huu uwoga sasa umepitiliza!! Yaani yooooteee tuliyotekeleza nchi nzima kwa 5 years bado tunamuhofia huyu mwamba???
Propaganda na Hali halisi ni vitu viwili tofauti
Huwa ikiwa hivyo aliyeshinda urais anavunja bunge na kuitisha uchaguzi wa wabunge ndani ya siku 90 na utashangaa wabunge wote wanahamia kwa mkuu aliyeshinda.Tuseme basi Lisu ashinde uRais 2020.
Kwa hiyo CDM ina uhakika pia wa kushinda viti vingi bungeni kuliko CCM 2020.
Maana kwa siasa zetu za uchama sioni serikali ya aina hiyo ikiwezekana!!
Jinga wewe Lisu Akishinda. Ikatokea hana viti vingi bungeni, kuwashinda ccm, itabidi awanunue wabunge wa ccm ili waunge juhudiTuseme basi Lisu ashinde uRais 2020.
Kwa hiyo CDM ina uhakika pia wa kushinda viti vingi bungeni kuliko CCM 2020.
Maana kwa siasa zetu za uchama sioni serikali ya aina hiyo ikiwezekana!!