Tetesi: Lissu atawekewa zengwe asigombee Urais

Kuliko mwenyekiti wenu akashindane na kivuli chake ni afya ashindane na wengine ili na hoja zao zisikike maana mwaka wa tano huu upinzani hauna jukwaa LA kueleza maono yao kwa uwazi.
Kwani tukiachana tu na sijui Yeye kuwekewa hilo Zengwe ila Kiuhalisia kabisa unadhani hata kama akigombea kwa hali ilivyo sasa nchini atashinda?
 
Unateseka?
Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
 
Hamjawahi kuiona nguvu ya umma mnaisikia na kuiona kwenye mitandao tu! 'there is what we call 'peopleees! poweeeer!!' this will happen when people are tired of being oppressed
Kingereza chako kizuri sema point ndio huna
 
Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
Hivi hujui wanaoanzisha nyuzi za lisu kwa wingi humu ni lumumba wenzio?
 
Kuna tetesi za chini kwa chini kwamba Mh. Tundu Lissu anaweza kuzuiliwa kugombea Urais. Zengwe linapikwa na watu waleeee, ili Lissu akose sifa za kugombea kama ilivyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kuna wasiwasi mkubwa sana, kule ndani kwamba Mh. Lissu akiruhusiwa kugombea urais, atampa wakati mgumu bwana yule na huenda akashinda kitu ambacho wengi wenye maslahi binafsi kwenye utawala huu hawakubaliani nacho.

Habari ndio hiyo

Lafiki wa mashoga anaweza kushinda?
Labda ashinde nyumbani kwenu tu.
Hakuna mtu mwenye familia anayeweza ku risk familia yake kwa lisu, vijana wetu wapasuke malinda kweli? Hilo haliwezekani.
 
Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
Subiri utamwona July 28 akjtua kweupee! CCM mkisikia hivyo mnaanza kutetemeka!
 
tunatemekaje wakati yule Lissu ni mshamba wa kijijini Singapore hata mjini Singida kwao hawamjui! Lissu ni msaliti wa nchi hii anayoichafua nje ya nchi kwa maslahi binafsi!! yule mahali pake ni jela tu! Ngoja afike hata home kwake hatagusa!!
 
Unafikiri kuna jipya basi hapo Mkuu.

November mtakuwa humu mkilalamikia NEC,Polisi na wakurugenzi.
Unasemaje kuhusu kauli ya ng'ombe atachinjwa hukohuko aliko elekeza shingo?
 
Kuna tetesi za chini kwa chini kwamba Mh. Tundu Lissu anaweza kuzuiliwa kugombea Urais. Zengwe linapikwa na watu waleeee, ili Lissu akose sifa za kugombea kama ilivyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kuna wasiwasi mkubwa sana, kule ndani kwamba Mh. Lissu akiruhusiwa kugombea urais, atampa wakati mgumu bwana yule na huenda akashinda kitu ambacho wengi wenye maslahi binafsi kwenye utawala huu hawakubaliani nacho.

Habari ndio hiyo
Mbona Bwana yule amejenga barabara, amekamata mafisadi, amenunua mandege maboov,amegawa million 50 kila kijiji na amejenga flaiovaaa kila pembe ya DSM, sasa wasiwasi wake upo kwenye nini ?
 
Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
Una undugu na Bia yetu ?
 
Tuseme basi Lisu ashinde uRais 2020.

Kwa hiyo CDM ina uhakika pia wa kushinda viti vingi bungeni kuliko CCM 2020.

Maana kwa siasa zetu za uchama sioni serikali ya aina hiyo ikiwezekana!!
Lisu akishinda urais, lazima tuwafanyie walichotufanyia chini ya huyu mtu wao.
 
Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
MaCCM mtake au msitake Lissu ndo Rais wenu ajaye. Meko tumemchokaaaa kwa kuwa ameathiri maisha ya watanzania wengi na sasa wanaishi chini ya umaskini uliokithiri.
 
Back
Top Bottom