Tetesi: Lissu atawekewa zengwe asigombee Urais

Tetesi: Lissu atawekewa zengwe asigombee Urais

Kuna tetesi za chini kwa chini kwamba Mh. Tundu Lissu anaweza kuzuiliwa kugombea Urais. Zengwe linapikwa na watu waleeee, ili Lissu akose sifa za kugombea kama ilivyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kuna wasiwasi mkubwa sana, kule ndani kwamba Mh. Lissu akiruhusiwa kugombea urais, atampa wakati mgumu bwana yule na huenda akashinda kitu ambacho wengi wenye maslahi binafsi kwenye utawala huu hawakubaliani nacho.

Habari ndio hiyo
Asante kwa taarifa Mkuu, uzi wako huu na utatumika kama rejea. Huu utawala uliosheheni WAHALIFU, ni changamoto sana.
 
Muache Lissu aje! Lissu = timu ndogo ya serikali ya mtaa, JPM = Simba. Waingie uwanjani wacheze. Nani atakuwa mshindi?
 
Back
Top Bottom