Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
Kwani tukiachana tu na sijui Yeye kuwekewa hilo Zengwe ila Kiuhalisia kabisa unadhani hata kama akigombea kwa hali ilivyo sasa nchini atashinda?
Mnalazimisha watu wamuongelee kwa kumuanzishia nyuzi kila muda.Watu hata hatumuwazi mnamuwaza nyie tu ila mnalazimisha WaTz wote waanze kumuongelea;Uzoba!
Kama ni kweli huu uwoga sasa umepitiliza!! Yaani yooooteee tuliyotekeleza nchi nzima kwa 5 years bado tunamuhofia huyu mwamba???
Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
Kingereza chako kizuri sema point ndio hunaHamjawahi kuiona nguvu ya umma mnaisikia na kuiona kwenye mitandao tu! 'there is what we call 'peopleees! poweeeer!!' this will happen when people are tired of being oppressed
Unafikiri kuna jipya basi hapo Mkuu.Hivi unajisikiaje timu hii itakapo tawanyika nchi nzima kuwazindua watu kuhusu utawala huu wa kimangungu?View attachment 1505647
Hivi hujui wanaoanzisha nyuzi za lisu kwa wingi humu ni lumumba wenzio?Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
Kuna tetesi za chini kwa chini kwamba Mh. Tundu Lissu anaweza kuzuiliwa kugombea Urais. Zengwe linapikwa na watu waleeee, ili Lissu akose sifa za kugombea kama ilivyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kuna wasiwasi mkubwa sana, kule ndani kwamba Mh. Lissu akiruhusiwa kugombea urais, atampa wakati mgumu bwana yule na huenda akashinda kitu ambacho wengi wenye maslahi binafsi kwenye utawala huu hawakubaliani nacho.
Habari ndio hiyo
Comments reservedKingereza chako kizuri sema point ndio huna
Subiri utamwona July 28 akjtua kweupee! CCM mkisikia hivyo mnaanza kutetemeka!Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
tunatemekaje wakati yule Lissu ni mshamba wa kijijini Singapore hata mjini Singida kwao hawamjui! Lissu ni msaliti wa nchi hii anayoichafua nje ya nchi kwa maslahi binafsi!! yule mahali pake ni jela tu! Ngoja afike hata home kwake hatagusa!!Subiri utamwona July 28 akjtua kweupee! CCM mkisikia hivyo mnaanza kutetemeka!
hahahahahah haya bwanaJinga wewe Lisu Akishinda. Ikatokea hana viti vingi bungeni, kuwashinda ccm, itabidi awanunue wabunge wa ccm ili waunge juhudi
yule mhuni ana hofu ya wasiojulikana kumaliza mission yao na wala haji anasumbua wajinga tu!Hii inatwa niguse ninuke,tusubiri Lissu aje.
Unasemaje kuhusu kauli ya ng'ombe atachinjwa hukohuko aliko elekeza shingo?Unafikiri kuna jipya basi hapo Mkuu.
November mtakuwa humu mkilalamikia NEC,Polisi na wakurugenzi.
Mbona Bwana yule amejenga barabara, amekamata mafisadi, amenunua mandege maboov,amegawa million 50 kila kijiji na amejenga flaiovaaa kila pembe ya DSM, sasa wasiwasi wake upo kwenye nini ?Kuna tetesi za chini kwa chini kwamba Mh. Tundu Lissu anaweza kuzuiliwa kugombea Urais. Zengwe linapikwa na watu waleeee, ili Lissu akose sifa za kugombea kama ilivyokuwa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kuna wasiwasi mkubwa sana, kule ndani kwamba Mh. Lissu akiruhusiwa kugombea urais, atampa wakati mgumu bwana yule na huenda akashinda kitu ambacho wengi wenye maslahi binafsi kwenye utawala huu hawakubaliani nacho.
Habari ndio hiyo
Una undugu na Bia yetu ?Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!
Lisu akishinda urais, lazima tuwafanyie walichotufanyia chini ya huyu mtu wao.Tuseme basi Lisu ashinde uRais 2020.
Kwa hiyo CDM ina uhakika pia wa kushinda viti vingi bungeni kuliko CCM 2020.
Maana kwa siasa zetu za uchama sioni serikali ya aina hiyo ikiwezekana!!
MaCCM mtake au msitake Lissu ndo Rais wenu ajaye. Meko tumemchokaaaa kwa kuwa ameathiri maisha ya watanzania wengi na sasa wanaishi chini ya umaskini uliokithiri.Lissu hivi yupo nchini au ni kivuli chake ndo kinaongea? chadema kama wendawazimu vile! wengine tunaboreka mnajaza uzi za mtu asiekuwepo nchini na ambae Allah anisamehe nikisema he is physically crippled and mentally unfit for presidency!!