Uchaguzi 2020 Lissu atolea ufafanuzi kuitwa kwenye tume ya Maadili

Hii show mwisho tarehe 28 Oct,2020!
Haya nayo yatapita! Maisha lazima yaendelee, uzuri siku hazigandi!
 
Bado sijakuelewa ongeza sauti tafadhali.Aliyekuelewa naomba anijuze.
 
Akiwa rais atafuata sheria, taratibu na kanuni, na hivi ndivyo serkali inapaswa kuongozwa. Wewe ulitaka afuate mini zaidi ya sheria kanuni nataratibu?
Tundu kawashika penyewe.
 
CCM wapo kwenye chuo cha sheria mwaka huu, BL001, na nyinginezo.
 
Yaani akili za kuegeshwa hizi, ko alilolifanya sio kosa la kisiasa
 

Umeshamaliza kurokota makopo hapo ulipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…