Uchaguzi 2020 Lissu atolea ufafanuzi kuitwa kwenye tume ya Maadili

Lissu anafanya kampeni na kutoa elimu ya uraia,Mgombea wa CCM yeye anafokea wananchi na kutoa maagizo hewa
 
Nilijuwaga unaakili kumbe na wewe Ni walewale
 
Lisu hana cha kupoteza na baada ya uchaguzi watamuwinda kila mahala ambapo riziki yake inapatikana lengo tu kumkomoa, ila watanzania tushukuru kumpata Tundu Lisu ambaye amejitoa muhanga kutusemea watanzania hasa kipindi hiki cha Magufuri ambapo hakuna Uhuru wa kutoa maoni, nimejikuta najuta kwann sikuwahi kufikiria kusoma sheria,

Hongera sana muheshimiwa kabisa Tundu Antipas Lisu, siku ukiondoka watu ndio watajua umuhimu wako
 

Umetazama na kuisikiliza hiyo video?

Umeelewa?

Ni ishu ya utaratibu tu na kamwe siyo kulifanya tatizo lake kuwa la wananchi...

Kama NEC wana tatizo na Lissu, ni rahisi tu. WAFUATE UTARATIBU WA KISHERIA waliyoitunga wenyewe....!

Kuumia kwako nadhani ni kwa sababu anelitolea ufafanuzi mbele ya umati wa maelfu ya wananchi...

Kama ndivyo, unaweza kutuambia kama kuna kosa lolote kisheria kufanya hivyo?

Obviously, jibu ni HAKUNA..!

By the way, wananchi ndiyo mahakama kuu na ya rufaa vilevile. Hiyo ndiyo maana halisi ya PEOPLE'S POWER...!!
 

Kushinda TUNDU LISSU ktk uchaguzi huu is not an option. Is a guarantee. Ni lazima...

Ni hivi Edward Lowassa (CHADEMA) alishinda uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kura zaidi ya million 12 huku Magufuli (CCM) akiambulia kura zisizozidi milini 3...

NEC wakatumia njia na mbinu zao kutengeneza matokeo yao mengine tu tofauti na yaliyopokelewa toka vituo vya kupigia kura....

Wakabadilisha matokeo na kuoneokana Magufuli (CCM) ameshinda kwa kura milioni 8+ dhidi ya milion 6+ za Lowassa (CHADEMA). Chapchap wakatangaza na ngoma ikaishia hapo...

This time kila mlango wa wizi na uchakachuaji kura ulishaonekana na kudhibitiwa na kufungwa kabisa. They have no any other option at all...

The only RISKY and DANGEROUS OPTION they have, ni kutumia nguvu ya bunduki na risasi kumshindisha Magufuli. Hawana option nyingine. Kwenye Ballot Box, absolutely CCM HAWANA CHAO. MAGUFULI HANA CHAKE....!!!

Na kitendo cha kubadilisha matokeo ama kumpa ushindi kwa nguvu tu huyu dikteta Magufuli (CCM) dhidi ya ushindi wa Tundu Lissu (CHADEMA), itakuwa ndiyo mwisho wa CCM na huyu mtu wao aitwaye Magufuli....!!
 
Kwani mkurugenzi wa NEC kwa mujibu wa katiba anapaswa kuwa na sifa gani? Nauliza tu,I know magu ana phD ya kuokota watu majalalani

Tume inaundwa na Wajumbe saba (7), miongoni mwao wakiwemo Mwenyekiti na

Makamu Mwenyekiti ambao wanapaswa kuwa na sifa ya Jaji wa Mahakama Kuu au

Mahakama ya Rufani. Katika Uteuzi, Rais anazingatia kuwa endapo Mwenyekiti ni

mtu anayetoka sehemu moja ya Muungano, Makamu wake atakuwa ni mtu

anayetoka sehemu ya pili ya Muungano. Hii, ni kwa mujibu wa Ibara ya 74(1) na (2)

ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha

4(1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343.



Aidha, Mjumbe mmoja anateuliwa kutoka miongoni mwa Wanachama wa Chama cha

Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) na Wajumbe wengine

wanne (4) wanatakiwa wawe na uelewa wa kutosha kuhusiana na kusimamia na

kuendesha Uchaguzi wa Wabunge au sifa nyingine kama ambavyo Rais wa Jamhuri

ya Muungano atakavyoona inafaa kwa ajili ya kuendesha shughuli za Tume.
 
Huyu mkurugenzi ana sifa ya ujaji? Au sifa zake anazijua aliyemteua tu?
 
What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.

Babymama cariha , pls join me
 
Maagizo kutoka juu kwa Mhutu yanawachanganya Mpaka wanasahau sheria na kanuni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…