Felician mnjia
New Member
- Jun 19, 2023
- 2
- 0
Mungu atusaidie tufike salama tuendakoTundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Kwa lile bandiko lako la juzi la kuwaita wenzako wajinga ninamashaka huenda nawe umo kwenye mshiko.Duh...!.
P
Tatizo la wabongo hasa wabunge wetu na watawala wanawaza Leo na siyo kesho na jingine izi elimu za kupeana tu ( PhD ) zifutwe tu kunawatu mpaka aibu . Mimi so mwanasheria ila wako wanasheria wengi wenye uwezo wa kusaidia serikali hii . Mimi nimepita Kwa Net tu nikagundua Hawa jamaa washakataliwa marekani huko Sababu ya matakwa( condition of contract) yanakuwa magumu ukipitia vizuri mkataba unagundua wao ndo watamiliki aridhi yote ya hamjui ya muungano wa Tanzania. Yaani bara na visiwani ukiongeza na anga pia. NB: so Kwa ubaya ila wabunge waloenda Dubai hawakuhongwa ila walikuwa na ushamba Kwa lugha ya mtaani walishangaa mitambo tu hawakujua uzito wa mkataba walivyokuja hata uwaeleze vipi wanataswila ya kule wanakuona msaliti , Sawa na kijana wa hovyo ukimwambia mwanamke anatabia mbaya huku yeye sura na shape vishamuingia kichwani mtauana bureTundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Lugha za Wajamaa hizo mara mtwana,sijui mnyonge Mimi soko kwenye kifungo hicho Cha fikra za umaskiniFikiria tena kwani hizi siyo fikra za mtu huru Bali mtwana!
Utanyongwa wewe kabla ya ChawaNatamani sheria ipitishwe CHAWA WOTE WANYONGWE
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
sk hz hawaweki ktk Bahasha! Unapewa sandarusi yako.... unasepaVipi mgao ulipata? Au ulipishana na bahasha?
Kwahiyo walilipiwa nauli tu kisha wakajitegemea kwa mishahara yao kununua zawadi za kurudi nazo! Hongo inatekelezwa kwa njia au namna nyingi sana, kuwapeleka huko kutalii ni hongo pia, kuwapa dola posho ya safari nje ya nchi bila kazi maalumu ni hongo pia, kuwakarimu kwa chakula, malazi na pesa ya soda ni hongo pia, si vizuri kutetea uhalifu ambao hauna tija.Tatizo la wabongo hasa wabunge wetu na watawala wanawaza Leo na siyo kesho na jingine izi elimu za kupeana tu ( PhD ) zifutwe tu kunawatu mpaka aibu . Mimi so mwanasheria ila wako wanasheria wengi wenye uwezo wa kusaidia serikali hii . Mimi nimepita Kwa Net tu nikagundua Hawa jamaa washakataliwa marekani huko Sababu ya matakwa( condition of contract) yanakuwa magumu ukipitia vizuri mkataba unagundua wao ndo watamiliki aridhi yote ya hamjui ya muungano wa Tanzania. Yaani bara na visiwani ukiongeza na anga pia. NB: so Kwa ubaya ila wabunge waloenda Dubai hawakuhongwa ila walikuwa na ushamba Kwa lugha ya mtaani walishangaa mitambo tu hawakujua uzito wa mkataba walivyokuja hata uwaeleze vipi wanataswila ya kule wanakuona msaliti , Sawa na kijana wa hovyo ukimwambia mwanamke anatabia mbaya huku yeye sura na shape vishamuingia kichwani mtauana bure
Lissu ni kimeo.Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Madalali ya samia na warabu wauza watumwa yamejazwa jf kutetea udalali wa kuuzwa bandari, kwa taarifa yenu nyie madalali tutawanyoosha mpaka akili ziwarudi.Kuhongwa Ili uandike vizuri Kuna shida gani,mbona wao Huwa wanawahonga bodaboda Ili wajae kwenye mikutano Yao?
Aisee kumbeUnashangaa kwa mtu kama balile? Labda kama ulikua humjui vizuri
Soon anakuwa mwenyekiti wetu ufipaLissu ni Shujaa !
La wanadishi kuhongwa sina shaka nalo kabisa,Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"