Uchaguzi 2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

Pia kuna suala la kuwahakikishia wananchi uwezekano wa kuifanya kazi masaa24 badala ya sasa. Pia kuna maeneo kama Mbezi hadi Kibamba shida ya huko ni maji na miundombinu. Azungumzie pia kwa mapana maboresho ya elimu NA maana ya elimu bure
 
[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Tundu Lisu Dar walisha mnyoosha hasira za Chadema zikaishia kwa TBC.
 
Mwanadaresalaam ambae hajamuu mpaka Sasa,usiendelee kupoteza muda.Amua Sasa mustakabali was taifa lako.Mpenda haki,mpenda maendeleo na haki kwa wote ,amua hatima ya wanao ,wajukuu zako na Taifa lako.Kataa ubaguzi na dhulma zidi ya yeyote.
 

Umefikiria sana kwenye issue ya Dsm imelala

Congrats

Kura yangu kwa JPM
 
LISSU TUFUTE MACHOZI
 
Lissu kapunguza Kasi ya JPM kwa asilimia 85%....

Yani unaona kabisa JPM hana kitu cha kuongea akakubalika aukutiliwa maanani
 
Lissu kapunguza Kasi ya JPM kwa asilimia 85%....

Yani unaona kabisa JPM hana kitu cha kuongea akakubalika aukutiliwa maanani

Hata watu wanaokwenda kumsikiliza unagundua kuwa kuna kundi kubwa tu miongoni mwa hao, hawana kiu ya kusikiliza atawafanyia nini, wanaonekana wanafuata burudani na free ride kwenye magari ya bure ukichaganya wale wanaopigwa biti kuwa lazima waende kwenye mikutano yake!
 
Nakubaliana na wote. Nyongeza ya hayo aendeleze ujasiri wake kuwahakikishia kuwa kura hazitaibiwa, hilo linawapa watu moyo sana. Kupunguza madaraka makubwa ya rais na katiba mpya pia

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kura huwa wanapiga vizuri tu kwa upinzani isipokuwa wale wataaalamu wa kutangaza matokeo, wasiohojiwa na mamlaka yoyote ile ndio kiwazo kwa miaka yote hii. Ukiona ccm wanajisifu kushinda kwa kishindo, basi ujue kishindo chao kiko kwa hao wasiohojiwa na mtu yeyote. Full stop!!!
 

Well presented
 
2015 Meko alipata kura 54k tu Dar....Mwambieni Meko watu hawamtaki na akitumia jeshi tuko tayari kufa na kupambana nao tunajua wazazi wao wanakoishi na familia zao..Hatutishiki
 
Yani Mkuu umeandika vizuri sana. Spana zimekaa vyema mno. Naamini watamfikishia Mh TL. Ayachukue yote haya na kuongezea za kwake.

Mungu akubariki sana Mkuu. Uko vizuri sana kwenye kuhakikisha Watanzania tunatoka kwenye utawala huu dhalimu.

Tundu Lissu ndiye mkombozi wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…