Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Nimemsikia Lissu akisema baada ya uchaguzi mkuu wa CDM Jan 21 uongozi utatakiwa kufanya maridhiano na Viongozi,Wanachama,Mashabiki & Wananchi (Watanzania) lakini chini ya uongozi mpya na si chini ya uongozi wa Freeman.
Kwa maneno rahisi fujo zote anazofanya sasa hadi siku ya uchaguzi atakayekuwa na uwezo wa kuponya majeraha ni yeye Lissu pekee yake.
Sijamsikia Freeman akikibagaza chama chake na wakati mwingine amejaribu hata kufukia mashimo pale Lissu anapoonyesha mpasuka ndani ya chama.
Kwa maneno rahisi Lissu akishindwa CDM ife ila akishinda atatibu majeraha.
Ngongo kwasasa Kogatende.