Lissu ni mkweli sana na anahitajika sana kipindi hiki.. In fact ni wakati wakeNimemsikia Lissu akisema baada ya uchaguzi mkuu wa CDM Jan 21 uongozi utatakiwa kufanya maridhiano na Viongozi,Wanachama,Mashabiki & Wananchi (Watanzania) lakini chini ya uongozi mpya na si chini ya uongozi wa Freeman.
Kwa maneno rahisi fujo zote anazofanya sasa hadi siku ya uchaguzi atakayekuwa na uwezo wa kuponya majeraha ni yeye Lissu pekee yake.
Sijamsikia Freeman akikibagaza chama chake na wakati mwingine amejaribu hata kufukia mashimo pale Lissu anapoonyesha mpasuka ndani ya chama.
Kwa maneno rahisi Lissu akishindwa CDM ife ila akishinda atatibu majeraha.
Ngongo kwasasa Kogatende.
Kama kweli Lissu kasema hivyo basi atakuwa mwehu! Yaani kila post humu ni yeye kasema, yeye kasema. Halafu baadae akishinda afanye maridhiano? Kweli Lissu ni mwehu!Nimemsikia Lissu akisema baada ya uchaguzi mkuu wa CDM Jan 21 uongozi utatakiwa kufanya maridhiano na Viongozi,Wanachama,Mashabiki & Wananchi (Watanzania) lakini chini ya uongozi mpya na si chini ya uongozi wa Freeman.
Kwa maneno rahisi fujo zote anazofanya sasa hadi siku ya uchaguzi atakayekuwa na uwezo wa kuponya majeraha ni yeye Lissu pekee yake.
Sijamsikia Freeman akikibagaza chama chake na wakati mwingine amejaribu hata kufukia mashimo pale Lissu anapoonyesha mpasuka ndani ya chama.
Kwa maneno rahisi Lissu akishindwa CDM ife ila akishinda atatibu majeraha.
Ngongo kwasasa Kogatende.
Una hamu kuona Mbowe ajivue nguo uone nini labda?Nimemsikia Lissu akisema baada ya uchaguzi mkuu wa CDM Jan 21 uongozi utatakiwa kufanya maridhiano na Viongozi,Wanachama,Mashabiki & Wananchi (Watanzania) lakini chini ya uongozi mpya na si chini ya uongozi wa Freeman.
Kwa maneno rahisi fujo zote anazofanya sasa hadi siku ya uchaguzi atakayekuwa na uwezo wa kuponya majeraha ni yeye Lissu pekee yake.
Sijamsikia Freeman akikibagaza chama chake na wakati mwingine amejaribu hata kufukia mashimo pale Lissu anapoonyesha mpasuka ndani ya chama.
Kwa maneno rahisi Lissu akishindwa CDM ife ila akishinda atatibu majeraha.
Ngongo kwasasa Kogatende.
Ni sawa tu, na Mbowe ndio itakuwa sababu ya hali hiyo kwa kuwa king'ang'anizi wa madaraka. Lisu akishinda hakuna haja ya kuunganisha kwa kubembeleza, anayetaka atajiunga naye, asiyetaka atajiunga na Mbowe kufanya hujuma.Muda ni Mwalimu mzuri sana,uwezo wa kuunganisha hana kabisa.
Kama lissu ni mwehu je majizi na matapeli ya ruzuku tuyaitejeKama kweli Lissu kasema hivyo basi atakuwa mwehu! Yaani kila post humu ni yeye kasema, yeye kasema. Halafu baadae akishinda afanye maridhiano? Kweli Lissu ni mwehu!
Muulize Lissu.Kama lissu ni mwehu je majizi na matapeli ya ruzuku tuyaiteje
Mwehu kuliko mamayenu mzururaji na ombaomba Kwa mabeberu ama kweli ccm ni mapumbavu.Kama kweli Lissu kasema hivyo basi atakuwa mwehu! Yaani kila post humu ni yeye kasema, yeye kasema. Halafu baadae akishinda afanye maridhiano? Kweli Lissu ni mwehu!
Ahahahahah! Kama mwehu anaongoza nchi na mamlaka zote zinamtii, wewe kapuku mzungu wa reli ambaye babu zako pande zote mbili, bibi zako pande zote mbili, wakwe zako, mke wako, wewe mwenyewe na watoto zako ambao hata ujumbe wa kitongoji hamna tuwaiteje? Maana hata kuwaita wehu ni kuwapendelea! Ahahahahaha!!!Mwehu kuliko mamayenu mzururaji na ombaomba Kwa mabeberu ama kweli ccm ni mapumbavu.
🤣🤣🤣🤣Heri ya Christmas Wanajamvi.
Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa.
Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika majuma kadhaa yaliopita ,kutopata coverage ya kutosha kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyo Habari ya umwenyekiti wa CHADEMA.
Ushauri wangu, mteue KINGWENDU kuwa Mbunge, na BAMBO kuwa mjumbe wa bodi Mojawapo kama vile bodi ya utalii,kupitia waziri mwenye dhamana.
Baada ya uteuzi huo kwa muda Mjadala wa CHADEMA utaenda likizo na watu watajadili uteuzi wa BAMBO na KINGWENDU.
Ukilifanya hilo mheshimiwa Rais, utakuja kunishukuru.
Nimetumia BAMBO na KINGWENDU kama mfano, inawezekana pia ukawateua Ndugu wengine tofauti, kama ndugu yangu MADEBE LIDAI na na mtaani wangu Muhogo mchungu.
Ushauri sio shururuti, unaweza kukataa pia sio Lazima kuafiki.
Ni hayo tu mh Rais, Nikutakie Christmas njema.
Matahira ya ccm bhanaMuulize Lissu.
Wewe mwanaccm yachadema pia Yanakuumiza?Kauli za Lissu zinatosha kumfuta uanachama