Pre GE2025 Lissu: Baada ya uchaguzi CHADEMA itahitaji maridhiano yawezekana chini yake tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nawashangaa watu wasio ona hilo. Na akikwama tu hata chelea kuwasukuma watu chini ya basi. Yakiwa mabaya zaidi atasepa.

Amandla...
 
Muda ni Mwalimu mzuri sana,uwezo wa kuunganisha hana kabisa.
Akishinda, atatumia kama miezi 6 hivi kuonyesha jinsi Mbowe alivyokuwa mbaya. Atatoa ahidi kibao. Atazungukia matawi, atakunywa na kula na wanachama. Atajitoa katika mazungumzo ya maridhiano. Atabasilisha sekretariat karibu yote. Mambo ya Chadema yataongelewa Clubhouse. Atatangaza miradi ya kuingizia pesa CDM. Atatuambia jinsi dispora watakavyoibeba Chadema.

Uchaguzi ukifika atasema hana pesa za kufanyia kampeni kwa sababu Mbowe na genge lake wamezitafuna zote. Uchaguzi utasimamiwa na Tume ile ile. Wakurugenzi wataendelea kusimamia upigaji kura. Atakuwa na choice mbili tu. Asusie Uchaguzi kuonyesha kuwa ana msimamo au agombee na ashindwe na ACT-WAZALENDO. 2026 utakuwa mwaka mgumu sana kwa CDM ya Lissu. Honeymoon itakuwa over maana hataweza kumsingizia Mbowe kwa mismanagement yake. Na ruzuku itaota mbawa.

Amandla...
 
Naomba video clip akiongea hayo tafadhali.
 
Huyu jamaa imefikia hadi anavujisha siri za vikao vya chama vya kamati kuu - CDM mtajilaumu sana kumwamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…