Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Wasanii wanaozunguka nao pesa zinatoka wapi ili iweje watu wanataka kusikia uliwafanyia nini na kwanini wapo wapo hapo walipo kwa miaka hii ya sayansi na teknolojia ulitengeneza ajira kiasi gani mshahara wa wafanyakazi upoje maisha ya kila siku yanamgusaje mtu mmoja mmoja watanzania wa leo sio wa jana tupo tunawatizama tu mnavyo toa mapovu kura ni siri yangu usinipangie na muheshimu kura yanguWale wasanii ni wa Uganda? Watampigia kura Museveni?
Kuna upumbavu muwe mnajaribu kuuficha
Mkuu elewa huu ni uchaguzi mkuu kila mtu anatumia mbinu yake ili afikie lengo sasa kama wewe unaona hatangazi sera ni vizuri ukazifuata sera ninazotangazwa mikutano yote ipo wazi kila mtu anasikiliza muache mtu afuate uwamuzi wakeUkweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting....
Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za Chadema na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting..
Wewe uliuliza swali ukaambiwa huruhusiwi au unaongea hisia binafsi?Magufuli anaposema nchi inaliwa na mafisadi ulipata wasaa pengine wa kumuuliza maswali inaliwajeliwaje?advocacy uifanye kwenye political campain ambako hata swali huulizwi? very poor approach .Lisu ni mwanaharakati ndio maana anashindwa kumudu kunadi sera anarudi kwenye advocacy kila dakika!
Haya shemeji niletee hiyo mbunye niitafuneBasi tuendelee kugongana bila kinga ili tufyatuane kwakua maziwa ya kunyonyeshea watoto tunayo.
Ki ukweli, mpaka sasa JPM ndo Rais wa JMT, wagombea wengine wote waliobaki ni WASINDIKIZAJI tu.
Huoni Kama anawasaidia wasiojua haki zao kuzijua Sasa? Najua unaumizwa Sana na presentation za Lissu jukwaani na jinsi anavyowavutia watu wengi pasi na kuwatumia wanenguaji Ila ndio hivyo Tena kamwacha jamaa yako mbali Sana! Huyo ww kwako Hana Sera zaidi ya kusifia Mambo ya kujenga madaraja na kukarabati reli huku akiwataka mzaane mithili ya panya! Pole kwa maumivu!Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na Janeiro wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting.
Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa darasa la Sheria akitumia daftari zake za mwaka wa kwanza chuo kikuu.
Kwa mentality yake sio ya CHADEMA wala wasikilizaji yeye anaamini kuwa kazi ya mgombea uraisi ni iutoa tuition ya sheria sababu ndilo Hitachi kuu la wananchi.
Haamini moyoni mwake kuwa watu wanahitaji maji barabara, nk ndio maana inampa shida mno kunadi sera za CHADEMA.
Hadi sasa hajaweza kunadi sera za CHADEMA kwa ufasaha kiasi hata mtu akitoka mkutanoni ukimuuliza mtu akwambie sera alizodikia ni zipi, hakuna.
So far kunadi sera za CHADEMA kumemshinda. Ni vigumu my present kitu usichokikubali au kukiamini usemi huu umedhihirika kwa Lissu anashindwa kabisa kunadi sera za CHADEMA
Sijui CHADEMA wafanyaje lakini mgombea wao hiyo kazi ya kunadi sera yao kumemshinda au hataki lakini kwa maoni yangu na ukimwangalia usoni akiongea naona hataki kabisa kunadi sera za CHADEMA na hana mpango nazo.
Magufuli yeye badala ya kueleza sera anacheza singeli matokeo yake mwimbaji wa singeli kamwambia apige magoti wamombee Mkapa naye kakubali kama boya. Hivi Mungu na singeli wapi na wapi tena mwimbaji yupo nusu uchi?Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.
Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting.
Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa darasa la Sheria akitumia daftari zake za mwaka wa kwanza chuo kikuu.
Kwa mentality yake sio ya CHADEMA wala wasikilizaji yeye anaamini kuwa kazi ya mgombea uraisi ni kutoa tuition ya sheria sababu ndilo Hitaji kuu la wananchi.
Haamini moyoni mwake kuwa watu wanahitaji maji barabara, nk ndio maana inampa shida mno kunadi sera za CHADEMA.
Hadi sasa hajaweza kunadi sera za CHADEMA kwa ufasaha kiasi hata mtu akitoka mkutanoni ukimuuliza mtu akwambie sera alizodikia ni zipi, hakuna.
So far kunadi sera za CHADEMA kumemshinda. Ni vigumu my present kitu usichokikubali au kukiamini usemi huu umedhihirika kwa Lissu anashindwa kabisa kunadi sera za CHADEMA
Sijui CHADEMA wafanyaje lakini mgombea wao hiyo kazi ya kunadi sera yao kumemshinda au hataki lakini kwa maoni yangu na ukimwangalia usoni akiongea naona hataki kabisa kunadi sera za CHADEMA na hana mpango nazo.
Ngoja wakatane mitamaHamna uwezo wa kupambwa na wasanii japo mnawatamani. Acha wenye uwezo wawatumie kwakuwa nao ni watanzania na watapiga kura.
Pole kwa maradhi,Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais.