Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

Ndio maananamuita ropo.ropo.

Chadema kubwa ilisimamisha wagombea asilimia 20% tuu Nchi nzima 😆😆
Ccm ilishimamisha wagombea wengi si kwa sababu ya kukubalila ama ubora, bali kwasababu ya hila. Mtu mjinga tu ndio anaweza kujivunia wingi wa hila. Uchaguzi wa cdm ndio uchaguzi wa kweli wa kisiasa, hata mshindi ameshinda kihalali.
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 2
Watu hawapumziki, non stop, kampeni kali zimeanza leoleo, nikiangalia naona kama CCM wanashambuliwa dakika ya kwanza tu upinzani unaliandama lango lao.
 
Lissu kasema ukweli mtupu. Chama Kikubwa cha Siasa Tanzania ni CHADEMA.

CCM sio chama cha Siasa. Wale ni chama cha dola. Na siku ikitokea Usalama wa Taifa na vyombo vingine vya dola vikasema imetosha kuibeba CCM huo ndo utakuwa mwisho wa utawala wa CCM nchini Tanzania.
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
huo ugeni ni mzito, Habari za chadema zimefika katika mataifa yao. picha ya chini ni wapiga zumari, wasanii tu wasiojua siasa ni nini, wameburuzwa tu mradi nao wapate posho, hamna kitu hapo
 
Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema

View attachment 3210116

Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?

hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.

View attachment 3210123

Toa Maoni yako
Uchaguzi mkuu unakuja

Mtihani mkubwa wa kwanza Lisu atapambana nao ni kukusanya pesa kupeleka matawini kipindi cha uchaguzi mkuu

Ndipo atakapojua mkono mtupu haulambwi

Na alilaghai wapiga kura kuwa yeye kama mwenyekiti anajua Chadema ina pesa nyingi makao makuu ila Mbowe na genge lake hawashushi huko chini

Ok Mbowe kaondoka uzuri Lisu kashika kipindi ambacho pesa huko chini wanazohitaji mno kwa kampeni uchaguzi mkuu wanasubiri kwa hamu hela zake za ubelgiji ashushe huko chini

Mbowe tafadhali nenda sabbatical leave kwa mwaka mzima kuwa umeongoza vya kutosha na uchaguzi umeshindwa

waambie.Naenda likizo ili usibebe lawama kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wakishindwa wakasema uliwashauri vibaya

Waachie asilimia 100 wao ndio wasimamie uchaguzi mkuu .Lawama zitue kwao kwa asilimia 100 wakishinda wajisifu wenyewe wakishindwa wazomeane na kuzodoleana wenyewe

Mimi CCM nasema Mbowe kaa mbali tuachie Lisu tunamumudu tena mno

Kwanza kifedha za kampeni hana uwezo huo yeye na timu yake kama wewe Mbowe na team yako mlivyokuwa mnaweza

Lisu safari hii uchaguzi mkuu ataufanya kilofa mno

Mbowe wala usihangaike na Chadema ya akina Lisu kuwaeleza siri za fedha zilikuwa zikipatikana wapi ndani au nje ya nchi mwachie Lisu kama ana kuku au mbuzi jule kwao singida auze hao afanye kampeni

Kashinda uchaguzi lakini kuna kitu yeye na team Lisu watajuta kuingia kwenye uongozi wa juu hasa kwenye eneo la pesa
 
Back
Top Bottom