Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 289
- 416
Matapeli walijikusanya pale Dodoma.Kile Chama Cha Matamasha ya Wasanii Tanzania?
Wenzao wamekesha nje ya Ukumbi wa Mlimani City huku wakiwa wamefika pale kwa kujugharamia, wapo nje usiku kucha, wananunuliana na kugawana vyakula vinywaji kidigo walivyo navyo.
Lakini wenyewe wamegharamiwa kwenda Dodoma kwa ajili kuhudhuria Mkutano wenye mambo wasiyoyajua, wakakesha Bar, Club na kumbi zote za starehe, wakinywa, wakila na kungonoka, halafu aliyewaita akajiteua, wakamstaafisha makamo, wenyewe wanabaki kushangilia tu.