Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema
View attachment 3210116
Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote?
hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza.
View attachment 3210123
Toa Maoni yako
Uchaguzi mkuu unakuja
Mtihani mkubwa wa kwanza Lisu atapambana nao ni kukusanya pesa kupeleka matawini kipindi cha uchaguzi mkuu
Ndipo atakapojua mkono mtupu haulambwi
Na alilaghai wapiga kura kuwa yeye kama mwenyekiti anajua Chadema ina pesa nyingi makao makuu ila Mbowe na genge lake hawashushi huko chini
Ok Mbowe kaondoka uzuri Lisu kashika kipindi ambacho pesa huko chini wanazohitaji mno kwa kampeni uchaguzi mkuu wanasubiri kwa hamu hela zake za ubelgiji ashushe huko chini
Mbowe tafadhali nenda sabbatical leave kwa mwaka mzima kuwa umeongoza vya kutosha na uchaguzi umeshindwa
waambie.Naenda likizo ili usibebe lawama kwa matokeo ya uchaguzi mkuu wakishindwa wakasema uliwashauri vibaya
Waachie asilimia 100 wao ndio wasimamie uchaguzi mkuu .Lawama zitue kwao kwa asilimia 100 wakishinda wajisifu wenyewe wakishindwa wazomeane na kuzodoleana wenyewe
Mimi CCM nasema Mbowe kaa mbali tuachie Lisu tunamumudu tena mno
Kwanza kifedha za kampeni hana uwezo huo yeye na timu yake kama wewe Mbowe na team yako mlivyokuwa mnaweza
Lisu safari hii uchaguzi mkuu ataufanya kilofa mno
Mbowe wala usihangaike na Chadema ya akina Lisu kuwaeleza siri za fedha zilikuwa zikipatikana wapi ndani au nje ya nchi mwachie Lisu kama ana kuku au mbuzi jule kwao singida auze hao afanye kampeni
Kashinda uchaguzi lakini kuna kitu yeye na team Lisu watajuta kuingia kwenye uongozi wa juu hasa kwenye eneo la pesa