Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

Matapeli walijikusanya pale Dodoma.
 
We utakuwa mwehu tu. Nyie ndio mnao amini katika wazungu kuliko kujiamini wenyewe.
Hao wa liovaa suti hawapigi kura na hawana impact kwenye uchaguzi ila hawa wa chini waliovaa vijora ndio wanamweka rais madarakani. Na hao ndio muhimu.

Ni mwehu Peke anaeweza kuwadharau wanamchi wake na kuwathamini wageni wasiopiga kura.
 
Ulianza na "Lissu hashindi na hana uwezo wa kushinda", sasa naona umekuja na "fedha za uchaguzi mkuu atapata wapi"!!

Wewe endelea kuhamisha magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…