The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Swali la kijinga kutoka kwa mjinga.Unahitaji uthibitisho ?
Lisu habahatishi.Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?.
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Kweli kabisaUchochezi
Katetee wezi akina na mama DP World , haya ya haki huyaweziNiliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?.
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Haukuhusika ila umejipendekeza upate sifa , kushobokea kutakuponzaSwali la kijinga kutoka kwa mjinga.
Hiyo bilion 100 Hata Diamond wa Wasafi anayo ndio ushangae kwa kidume Shujaa Magufuli Waziri miaka 20 Rais miaka 6?US Dollar 42,000,000=104,990,550,850 Tanzanian Shilling johnthebaptist
Na kaacha familia yake ulaya.😂😂😂Niliwahi kushauri, threads za tuhuma za kuchafua watu humu, kwa hearsay ziendane na uthibitisho usiotia shaka, usikute mtoa tuhuma anatafuta a honorary exit ili akiitwa kuthibitisha, huyooo... kurejea kwake na kusingizia anatafutwa!. Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho
Why umtuhumu tuhuma nzito hivi zisizo na uthibitisho al marhum asiyeweza kujitetea?.
Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must proves!.
Kwa msiojua Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
kwa mshahara au biashara ipi if not rushwaHiyo bilion 100 Hata Diamond wa Wasafi anayo ndio ushangae kwa kidume Shujaa Magufuli Waziri miaka 20 Rais miaka 6?
Bavicha mnawaza kimaskini Sana😂😂
Sikuhusika? Kwani mm sio member wa JF? punguza uzwazwa wewe.Haukuhusika ila umejipendekeza upate sifa , kushobokea kutakuponza
Kama ni kweli,hizo ni bilioni ngapi kwa shilling ya Tanzania!?Pesa ndogo sana kulinga na muda wake kwenye serkal. Billion yes .... Milion no.. ni ndogo