Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

Nani kakuambia ya kuwa Late president Yuko Mbinguni?
 
Ujifunze kupokea taarifa usizozipenda pia.
 
Huyo shoga anataka kurudi kwa mabwana zake naona ameshakosa sera. Ndio maana juzi msafara wake waliupopoa mawe pia gari lao la matangazo wakalichoma moto.
Ukafurahi? Uliona mkutano ulivyojaa? Wahuni wachache waliotumwa hao uvccm hawawezi kuzima moto wa Lissu.
Na Polisi walilinda usalama hadi mkutano ukaisha kwa amani kabisa.

Wewe na wivu wako endelea kuumia tu.
 
Sasa billion 9 za kitanzania ndiyo ushangae kwa mtu mkubwa na nyadhifa kubwa kwa miaka yote hiyo aliyohudumu katika uwaziri na urais?

Aliyezikuta keshi billion 9+ na kuzihesabu ni nani?

Watu akili zinashikwa kwa uongo wa hovyo kabisa[emoji1]
Ni kweli sio nyingi sana. Ila kukaa na pesa nyingi hivyo nyumbani kuna tia walakini
 
Hili lilisemwa sana wakati Magufuli amezikwa. Watanzania ni ama wasahaulifu sana au hawataki kufuatilia mambo. Kwa kifupi Magufuli alikuwa na fedha nyingi ameziweka nyumbani na hii habari ilizungumzwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…