Pre GE2025 Lissu: Dr. Slaa ndiye alimleta Lowassa CHADEMA

Pre GE2025 Lissu: Dr. Slaa ndiye alimleta Lowassa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Suala la lowassa sijui hata kalijibuje.,......nasikia tu,
"Dr slaa ndiye aliyemleta......."
"Dr slaa aje alijibie hili kwanini alimleta"
"Ni kweli nami nilihusika katika suala hilo, siwezi kubisha"

Nimeenda kulala
Hujamsikiliza au huelewi kiswahili?!
 
flying monkeys wake watakuja kukwambia “kumwelewa lisu unahitaji zaidi ya d2 “ huyo jamaa hamna kitu kabisa sema tanzagiza kila kitu ni kinyume …
Kijakazi kumbe upo? Sasa ulisusa nini mpk ukataka wewe ndo uulizwe swali? 😺
 
CCM wako bize kufuatilia mambo ya chadema badala ya mkutano wao wa Dodoma
 
Sasa kwanini Padre slaaa Alikwambia mwenzake kuwa chama kimeuzwa 🤣!

Yaaani nimecheka sana
 
Ni vyema kama Lisu akikubali tu kuwa walikosea kumleta Lowasa CHADEMA.

Kukosea ni ubinadamu. Cha muhimu ni kujifunza kutokana na hayo makosa.
Mwanzo alisema Mbowe ndio aliomleta.ei baada ya Mbowe kusema Lema atafukuzwa chama na kitongoji chake kaingia .mma
 
Nilikiwa Team Liisu lkn kwa hili kama nahisi mkichwa hakuko sawa, labda apimwe mkojo
 
Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.

Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.

Bado lissu hajasema huu ni uharo wa mwanzo maji maji mpaka akifika kwenye mchanganyiko watu washamuelewa nae ni wale wale wapenda rushwa!
 
Back
Top Bottom