Lissu haamini katika taasisi, hata CHADEMA haiamini, anataka kwenda peke yake aongoze taifa kama mifugo yake

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake.

Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya maoni ya wahasibu, amelazimisha apewe hela za mishahara za watumishi wa chama ili yeye na genge lake wazurure halafu jioni wachome nyama na kunywa whyisky.

Anakaa katika vikao vya chama wanaalika viongozi wa vyama vingine, anapiga kura kwa nguvu kuunga mkono, kesho yeye binafsi bila vikao, anakataa.

Mambo mengi ya chama yanakubaliwa, lakini yeye anatoka nje anayakataa.

Lissu ni JPM aliyefungwa polonium, bora hata JPM mwenyewe
 
leten majibu ya hoja zake, topic nyingine mnajidhalilisha
 
Haya Ndio majibu ya hoja za muungano?
 
Lissu na chadema baibai
 
Jamani katibiweni .... Tangia lissu avurumishe Makombora ni Mayowe na vilio ...mmepata Ugonjwa wa Kisaikolojia yaani yaani picha ya Lissu imekuganda kwenye ubongo na imegoma kutoka...huu ni Ugonjwa...yaani moyo wako unapiga Lissu Lissu Lissu kila sekunde
 
Sawa jibu hoja zake sasa!!?

Kwanini Kuna nyuzi za kushambulia personality yake!!?

Jibuni hoja!!?

Mwiteni Mzee wasira ajaribu na yeye!!
 
Temea mate chini, kwa kumlinganisha shetani jiwe na mtu mwenye akili zaidi hapa nchini, Tundu Antipas Lisu.

Lisu mmoja = maCCM 1,000
JPM hakuamini katika taasisi, akiamka kaota maharage inatibu korona, anatoa tamko mchi nzima mnafata
 
Nimejikuta nikiwahusudu watu wa Aina yake. Watu wanaochagua kwenda kinume na mfumo kusimamia kweli na haki.
 

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1788944003393573282?t=D8hlaVFScBWGaD_1kdGwOw&s=19
 
JPM alikosea sana kutompa Lissu ama uwaziri mkuu, au uanasheria mkuu..hawa watu wange-collabo muda huu Taifa lingekua mbali sana. Angemsahihisha JPM kuheshimu sheria za ndani ila angemsaidia kutobanwa na sheria za nje. Tungevunja mikataba ila faini tusingelipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…