Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ninakushauri usikiapo jambo lenye mashaka usikimbile kalamu hata kama muhusika unamchukia kiasi gani.Haya ndio yale mambo ya ropo ropo na uropokaji tuu, taarifa ya kuvunjika kwa maridhiano lazima itolewe ama rasmi na chama ama wana maridhiano wenyewe in this case ni Mwenyekiti Mbowe, au KM Mnyika na sio M/Mwenyekiti, TL, si miongoni mwa wajumbe wa maridhiano!.
Kwenye hii issue ya maridhiano, niliwahi kuwauliza CHADEMA Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Sasa mtu kama huyu akitangaza kuvunjika kwa maridhiano, we have to doubt him!. Kama ni kweli maridhiano yamevunjika, then CHADEMA watatoa taarifa rasmi, sio hizi taarifa za ropo ropo!.
P
TAKE TIME TO KNOW IT.
Kuwa mvumilivu tunajua unahasira na Chadema kwani hatukuoni popote mpaka Chadema itokee! Wewe ni mwanasheria wa aina gani? Safari ya kumfikia Lakha utaianza labda 2045, unasikitisha sana mr. Lawyer.