Haya ndio yale mambo ya ropo ropo na uropokaji tuu, taarifa ya kuvunjika kwa maridhiano lazima itolewe ama rasmi na chama ama wana maridhiano wenyewe in this case ni Mwenyekiti Mbowe, au KM Mnyika na sio M/Mwenyekiti, TL, si miongoni mwa wajumbe wa maridhiano!.
Kwenye hii issue ya maridhiano, niliwahi kuwauliza CHADEMA
Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Sasa mtu kama huyu akitangaza kuvunjika kwa maridhiano, we have to doubt him!. Kama ni kweli maridhiano yamevunjika, then CHADEMA watatoa taarifa rasmi, sio hizi taarifa za ropo ropo!.
NB. Neno ropo ropo ni mtu kujiongelea mambo ya chama bila taarifa rasmi, na kwenye hili kiukweli huyu mdogo wangu wa Ilboru ni mzuri kumpita hata yule Blaza wangu, na ni mimi ndie nilimshauri
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
P