Lissu: Habari ya Maridhiano kati ya CHADEMA na CCM ilishakufa baada ya CCM kukataa mapendekezo yote ya Katiba Mpya

Huteuliwi unahorojoka bure tu
 
  • Mhe Lissu kasema taarifa rasmi itatolewa na Mwenyekiti wa Chama ,
  • unamuita mwenzio ropo ropo wakati kakuzidi mbali sana kwenye uwakili, ww una number 10,000s wakati mwenzio ni very senior
 
Alivyokongoroka mwili hata akili zimekongoroka anavizia kumpiga madongo Lissu tu humu JF.
 
Kwahiyo wewe mzee unajua mambo ya ndani ya CHADEMA kumzidi TL?

Kuwa basi mstarabu mzee, acha uchawa wasukuma hamuaminiki, nyie ni wavurugaji tu.
 
Haya majinga ma ccm yametangaza vita rasmi sasa ndio muda muafaka wa kuikomboa tanganyika
 
Matatizo yakusoma Sheria kisa baba alifungwa
 
Tunaomjua lissu na wewe ulivyo tunacheka sana kwa kauli zako. Lissu ni genious, wewe ni kasuku na chawa mzee, tuache tumsikilize mwenye msimamo na akili atufundishe
 
Utakuwa chawa tu wewe! Hawa hawaongei hadi wakubaliane! Ndo maana kasema tamko rasmi litatoka. Sema kiukweli, hata wewe tunakujua ulipolalia. Mbowe mwenyewe alishaanza kugusia gusia. Na kwa taarifa yako, Lissu bado ni assest kubwa mno, sio tu kwa CHADEMA, bali kwa Tanzania.
NB: Sina kadi ya chama chochote!
 
Lissu anajua anachokifanya, hii ni 'pre-emptive strike' kwa mwenyekiti Mbowe. Ni wazi kuwa Lissu, Mnyika na pamoja na wanachama wengi wa CDM hawana imani na Mbowe, wana mashaka na mwenendo wake huko kwenye maridhiano.

Sasa Mbowe anamachaguo mawili, aikatae kauli ya Lissu na kutoa ushahidi kuwa CCM wamekubali mapendekezo ya CDM au athibitishe kauli ya makamu mwenyeki wake.
 


What if Lissu ameamua kutoka hadharani baada ya kuona Mwenyekiti anaumauma maneno?



Maana kwa hali inavyoenda, mtu yeyote mwenye utimamu wa akili lazima atahoji msimamo wa Mwenyekiti ukoje haswa? Kuacha hizi drama za +255.




Is the Chairman’s true loyalty at stake?

Halima Mdee & Co bado wapo bungeni.
 
Turudi uwanja wa vita sasa... Police na vyombo vingine vya usalama wasiwe waamuzi wenye upendeleo .. Hata kabla mechi haijaanza tayari CHADEMA wana ushindi wa 3-0
Siku zinakuja ambapo mtanielewa ninaposema tatizo la nchi hii siyo uongozi wala mfumo. Tatizo ni CCM.

CCM ni kansa inapaswa kukatiliwa mbali. Kikundi cha wachache kinachosaliti Taifa zima kwa kujitwalia mamlaka na madaraka isivyo haki.

Anguko lake hakuna wa kuzuia. Hata tufe ama watuue wote wakabaki wao, bado anguko la CCM lipo palepale hakuna kinachobadilika
 
Lakini amesema CCM wamekataa rasmi maridhiano kwa maandishi tarehe 30/5/2023, na jukumu la kutangaza limebaki kwa Mwenyekiti Mbowe, Sasa kama maandishi ya CCM yapo, inakuwaje ropo ropo?
 
Una chuki tu na Lisu! Tunataka wanasiasa wakweli Kama Lisu sio kutwa kutudanganya wananchi kua wapo ktk majadiliano! Wakat yamekufa. We subir taarifa rasmi! Likn habar ndio hiyo.
 
"Halima Mdee & Co bado wapo bungeni",
Mwambe(mbunge Chadema) alihama chama kwa hiari yake akajiunga CCM na akapewa kadi, Spika Kichaa akamtangaza kuwa ataendelea kuiwakilisha Chadema huku akiwa mwanachama wa CCM! Wapuuzi mnafurahia ukiukwaji wa katiba mkidhani mnaikomoa Chadema kumbe mnaonesha ujinga wenu kwenye jamii.
 

Samahani boss, wapuuzi ndio kina nani?







Kuna Tatizo kubwa la uelewa na ufahamu hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…