Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajua sheria kushinda lissu?Jeshi la akiba lina fanya kazi km msaidizi wa askari polisi sheria ya polisi inaitambua km msaidizi wake km hana majukum chini ya jwtz kwa wakati husika
Huna uwezo wa kunijibu kwa hoja Maana unasubiri mpaka umezeshwe kitu pasipo wewe kukielewa kwa Akili yako..Nilivyoona matusi na kejeli. Sikuona haja ya kukujibu.
Poleeeeeh sana.
Kuanzisha sio ishu. Walioanzisha walikua na maana nzuri ya kulinda mipaka yetu na sio kulinda Mabeberu wa ndani walioshiba Mali na madaraka.Nani kakuambia kwmb JPM ndo kaanzisha kamandi ya jeshi la akiba?
Uwe makini ukiwa unajibu au kuandika, mh lissu anaweza kua bora ktk sheria ila ukumbuke pia ktk hayo majeshi kuna wanasheria na wasimamizi wa haki pia na wanajua cha kufanya. Sio sahihi kusema vikosi vyetu vya ulinzi eti vinapata mafunzo toka kwa gwiji wa sheria karne ya 21 kwa maajabu gani ya huyo Lissu ktk sheria duniani?Wewe unajua sheria kushinda lissu?
Pale walikuwepo polisi,magereza,mgambo,jwtz,usalama wa taifa nk walikuwa wanapewa shule ya sheria na nguli wa sheria kuwahi kutokea duniani(tz) katika karne ya 21.