Kwa kuongezea hata Askari wastaafu wa Jwtz ni part ya Jeshi la akibaSi kila kitu kinandikwa kwenye sheria...jeshi la akiba ni kamandi ya jeshi la wananchi wa tanzania ambapo majeshi mengine ni majeshi ya nchi kavu,majini na anga.
Kukuthibitishi hilo ndo maana mkuu wake ni afisa wa jwtz na linasimamiwa na jwtz na linapewa mafunzo na jwtz. Na vitambulisho vyao vinasainiwa na afisa wa JWTZ.
Sawa sawa na kusema leo jeshi la wanamaji limewnzishwa na sheria ipi...hitimisho jeshi la akiba ni moja ya kamandi ya jwtz na inasimamiwa na jwtz na linasimamiwa na sheria iliyoanzisha JWTZ