Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

Kwa kuongezea hata Askari wastaafu wa Jwtz ni part ya Jeshi la akiba
 
Lissu sheria alizosoma kakariri
 
Mwanasheria nguli hii haijui au upotoshaji wa makusudi kama ilivyo ada kwa vyama vyetu vya upinzani?
 
Anauliza, very simple question " Jeshi la akiba liliundwa kwa sheria gani?"
Jeshi la akiba ndilo jeshi la mgambo. Nafahamu tangu kitambo na baadhi ya vitabu vimeandikwa majina haya.

Kama huelewi uliza badala ya kubwatuka, kiongozi mzima hovyo!
 
Huyu alielewa kwa nini JKT kwa mujibu wa sheria alipewa force number?
Na imesajiliwa na wasimamizi wa reserve force. Ukihitajika kujitambulisha kwa kiongozi wa kijeshi lazima uitaje.
 
Yeye mwenyewe ni jeshi la akiba. Kasahau ana force number wakati si mwajiriwa wa jeshi.
 
Sheria ya mgambo ilishafutwa.

Ipo sheria mpya ya " jeshi la polisi na huduma za ziada".

Hata kwenye sheria ya JWTZ sijaona hilo jeshi la akiba.

Traditionally, tunaweza kuwa na kitu kinachoitwa jeshi la akiba, lakini sidhani kama ni jeshi rasmi.
Je sheria ya jwtz kuna majeahi mangapi
 
Inamaana hujui sisi mgambo tunavaa either gwanda la kimgambo ,au tshirt nyekundu na suruali nyeusi, na kamanda wetu ni JWTZ personal, kweli chadema ni UTO..
 
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
Mbona ksuliza swali zuri tu? Mwenye majibu si ampatie? Jeshi la Akiba limeundwa kwa sheria gani kwa mujibu wa katiba yeti?
 
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
kwa mujibu wa sheria halipo na hakuna kitu kama hicho unless kama mmlianzisha kama intarahamwe tu
 
Jeshini kuna Active Force Na Reserve force Na maana Ya Reserve Force ni Jeshi la Akiba ambalo hapo nyuma liliitwa Mgambo ila kwa sasa ni Jeshi la akiba Na lina MKUU wao kabisa so hapo Lissu kajichanganya sana
unaweza ku cite kifungu cha sheria kinachotamka "Reserve Army" imechukua nafasi ya "Mgambo"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…