Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
akili zako za kipumbavu sana, kwahiyo sisiemu wanaleta dp world wakijua watu hawatasema kwasababu wakisema watawaambia wanashusha utalii? mnatumia utalii kama kigezo cha kuingia mikataba mibovu ambayo italigarimu taifa, huo utalii utaingiza shilingi ngapi ukilinganisha na mipesa mliyokwisha kuitoa kulipa mikataba mibovu mliyovunja na mtakayovunja? mnatumia icho kama kigezo watu wanyamaze wakati ninyi mnapiga pesa?Hizi akili ndogo haziwezi kuelewa ndio maana wanangukia pia nyumbani na ugenini na kuendelea kulitia taifa hasara Kila siku!
Hawajui sasa hivi utalii unashuka sababu wanajua kwamba nchi Iko kwenye hatari ya Mapinduzi ambayo wameyatangaza wao wenyewe kwenye media rasmi za nchi!