Mkitaka kuona kama wanaweza au hawawezi kukinukisha leteni ujinga wenu wa wizi wa kura na kuwaoneo chadema mwaka huu kama mtapona!!Ata Chadema ilivyokua katika uborawake haijawai kuifikia nusu ya hamasa waliyokuanayo Cuf ya lipumba tena hakukua na mitandao ya kijamii yaani Cuf walikua wanaweza kukinukisha buguruni isipitike kwa masaa kadhaaa.
sasa Tundulisu na hamasa yake ya mitandaoni tena watuwenyewe hawafiki ata kumi wana vi account kwenye social media aanajiona mpambanaji.
Watu mnajua kujifarii aisee!!Aliyeshika usukani hapendwi ndani na nje ya chama chake. Ndani ya chama timu Kinana, timu Kikwete, timu Makamba, timu Nape wote hawa wanampa tabasamu la kinafiki tu. Subiri uone atakavyo dondoka.
Mwaka huu Kura zote za Udiwani, Ubunge naUtaiba kura ambayo mtu hajapata? Unaiba kura hewa? Lisu ana kura gani za kupata Hadi useme ataibiwa?
Halafu acheni ujinga unaibiwaje wakati una wakala wako mwenyewe chumba Cha kuhesabu kura?
Miaka yote huwa mnaimba hup wimbo wa kijinga ohh tunaibiwa kura ukiambiwa onyesha kituo kimoja tu ulichoibiwa unatoa mimacho tu
Nadhani wewe ndiye unajifariji kudhani Kinana yuko pamoja nanyi.Watu mnajua kujifarii aisee!!
Kwa hivyo Kinana kaomba msamaha bure wakati anajua jamaa mwisho wake Oktoba 2020?
Ndio hawa hawa mambugila[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa hawa wa Tanzania [emoji848]
Mbona walishashinda ni uhuni wakifanyiwaSiasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha
Sasa Lissu kaziokota kwenye jalala la historia anajiona yeye ndie kamanda. Mkuu wa ngangari aliyeshushwa na Allah kuwangungurisha watanzania!! Ana Messianic lunatism!!
Lissu asome historia ya hiyo mbinu ya ngangari kwanini haokufanikiwa
Pia ajiulize kwanini maandamano ya Mange Kimambi aliyoaitisha na yeye Lisu akasema ataongoza kwa Nini hayakufanikiwa? Kwa Nini wali change direction
Je, anadhani ngangari yake itafanikiwa? Kwa nini Kuna tofauti na ngangari za akina Seif Sharrif Hammad ambako watu walikuwa tayari hata kujitoa muhanga
Ninachokiona Lisu anadhani kugundua kitu kipya ambacho serikali haijawahi kukutana nacho kuwa Ni Mara ya kwanza kutokea!!!
Anyway anajaribu kucopy Let us mwishowe itakuwaje lakini sidhani Kama hata hiyo strategy anatumia Kama aliifanyia analyisis akiwa nawatu waliobobea kwenye political science Kama akina professier Baregu Ange m consult amsaidie
It is just a reminder ythat there is nothing new under the sun
Kama mnalijua hilo yanini mnachafua hewa?Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha
Sasa Lissu kaziokota kwenye jalala la historia anajiona yeye ndie kamanda. Mkuu wa ngangari aliyeshushwa na Allah kuwangungurisha watanzania!! Ana Messianic lunatism!!
Lissu asome historia ya hiyo mbinu ya ngangari kwanini haokufanikiwa
Pia ajiulize kwanini maandamano ya Mange Kimambi aliyoaitisha na yeye Lisu akasema ataongoza kwa Nini hayakufanikiwa? Kwa Nini wali change direction
Je, anadhani ngangari yake itafanikiwa? Kwa nini Kuna tofauti na ngangari za akina Seif Sharrif Hammad ambako watu walikuwa tayari hata kujitoa muhanga
Ninachokiona Lisu anadhani kugundua kitu kipya ambacho serikali haijawahi kukutana nacho kuwa Ni Mara ya kwanza kutokea!!!
Anyway anajaribu kucopy Let us mwishowe itakuwaje lakini sidhani Kama hata hiyo strategy anatumia Kama aliifanyia analyisis akiwa nawatu waliobobea kwenye political science Kama akina professier Baregu Ange m consult amsaidie
It is just a reminder ythat there is nothing new under the sun
Kama unadhani siasa za Lissu zimepitwa na wakati basi elewa kuanzia sasa, kuna mtu siasa zake kama ni ubaya basi ni mara sita ya Lissu, lakini siasa zake hizo ndiyo zimemfikisha hapo alipo na zinamhakikishia kuendelea kuwepo.
Usilalamike Jiwe kukutana na Chuma
TOFAUTI YA NGANGARI YA CUF NA YA LISSU' ILE YA CUF ILIKUWA HAINA USHAWISHI TOFAUTI NA HII YA LISSU,
AU NISEME ILE YA CUF ILIKUWA NI KAMA KUPIGA MIZINGA HEWANI KWENYE SHEREHE ZA KUMBUKUMBU YA UHURU WAKATI
HII YA LISSU NI KUPIGA MIZINGA KWENYE UWANJA WA MAPAMBANO
Kwani historia inasemaje bibie?Haikuwa na ushawishi? Unaota .Huwezi linganisha na hoi ya Lisu ya vitoto vya kwenye internet.Kasome Tena historia
Wewe ni mgeni Tanzania??? Au mburundi nini??? Hujui kuwa CCM walikuwa wanasafirisha maboksi ya kura kwenda halmashauri???Kwani zamani zilikuwa zikihesabiwa wapi? Hata hujui Ni Hapo hapo vituoni ? ndio Maana mkisema mumeibiwa mkiulizwa kituo kipi hamuwezi kuonyesha!!
Halafu ohh tutalinalda kura wakala wa chama chako kazi yake nini? Huko ndani ya chumba si Ni.kulinda kura .
Watu wako.ndani wanahesabu kura wewe hata kusaona husaoni unasema unalinda kura kula gani unalinda Hapo?
Piga kura kalale kwenu waachie mawakala wako mgombea Kama huwaamini Hilo Ni tatizo lako
Wewe mbona Lissu anakuumiza Roho na akili wakati unajua hashindi? Si Umuache tuu mbona unamsakama kila Siku baada ya Kifo kushindwa kumuondoa Duniani? Mjumbe Mambo na Maisha ya Lissu yatakupa Stroke au Heart attack. Muache Apumue si Hana lolote?Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha
Sasa Lissu kaziokota kwenye jalala la historia anajiona yeye ndie kamanda. Mkuu wa ngangari aliyeshushwa na Allah kuwangungurisha watanzania!! Ana Messianic lunatism!!
Lissu asome historia ya hiyo mbinu ya ngangari kwanini haokufanikiwa
Pia ajiulize kwanini maandamano ya Mange Kimambi aliyoaitisha na yeye Lisu akasema ataongoza kwa Nini hayakufanikiwa? Kwa Nini wali change direction
Je, anadhani ngangari yake itafanikiwa? Kwa nini Kuna tofauti na ngangari za akina Seif Sharrif Hammad ambako watu walikuwa tayari hata kujitoa muhanga
Ninachokiona Lisu anadhani kugundua kitu kipya ambacho serikali haijawahi kukutana nacho kuwa Ni Mara ya kwanza kutokea!!!
Anyway anajaribu kucopy Let us mwishowe itakuwaje lakini sidhani Kama hata hiyo strategy anatumia Kama aliifanyia analyisis akiwa nawatu waliobobea kwenye political science Kama akina professier Baregu Ange m consult amsaidie
It is just a reminder ythat there is nothing new under the sun
Tanzania ya ngangari sio tz ya Sasa,mbabe wa wizi Mungu alimpenda zaidi Safari hii Haki bin haki, udhalimu tupa kuleSiasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha
Sasa Lissu kaziokota kwenye jalala la historia anajiona yeye ndie kamanda. Mkuu wa ngangari aliyeshushwa na Allah kuwangungurisha watanzania!! Ana Messianic lunatism!!
Lissu asome historia ya hiyo mbinu ya ngangari kwanini haokufanikiwa
Pia ajiulize kwanini maandamano ya Mange Kimambi aliyoaitisha na yeye Lisu akasema ataongoza kwa Nini hayakufanikiwa? Kwa Nini wali change direction
Je, anadhani ngangari yake itafanikiwa? Kwa nini Kuna tofauti na ngangari za akina Seif Sharrif Hammad ambako watu walikuwa tayari hata kujitoa muhanga
Ninachokiona Lisu anadhani kugundua kitu kipya ambacho serikali haijawahi kukutana nacho kuwa Ni Mara ya kwanza kutokea!!!
Anyway anajaribu kucopy Let us mwishowe itakuwaje lakini sidhani Kama hata hiyo strategy anatumia Kama aliifanyia analyisis akiwa nawatu waliobobea kwenye political science Kama akina professier Baregu Ange m consult amsaidie
It is just a reminder ythat there is nothing new under the sun
Nadharia ya kuamini watz Ni wapole itawacost.Njaa imewaamshaMaandamano ya Mange Kimambi Lisu aliingia mitini Tena wakati alikuwa mzima wa afya alibwata ohh lazima tukiinukishe siku ya siku ilipofika akajifungia choooni .Mange Kimambi hakuamini kilichotokea Hadi Leo! Kaacha siasa kabisa .