Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi.
Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani ukashika kasi.
Yaliobaki ufisadi, kukuza uchumi ambapo alisema Zanzibar itakuwa ya neema. Hii iliwavutia wazanzibar.
Lissu hana sera maalum, mara tume ya uchaguzi, mara ukizimkazi, mara rushwa, mara umri wa wasira. Mara no reform no election.
Hakuna kauli mbiu ya chadema kuiondoa ccm. Hii itamfanya Lissu uchaguzi kuwa hali ngumu.
Ingawa maisha ya watz ni mazuri lkn chadema ya Lissu wala hawajui na hawasemi wafanye nini kuondosha umaskini huo