Ebu Ansbert Ngurumo (najua yupo humu) arudir kuusoma Uzi wake kama aliyoandika ndiyo yaliyotokea!View attachment 3655454
Tarehe 10 Februari 2025
View attachment 3655455
View attachment 3655456
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali, akitolea mfano wa siasa za Kenya. Hata hivyo, Lissu alipuuza somo hilo na kung'ang'ania kauli mbiu yake ya "Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi."
Msimamo huu wa kususia uchaguzi mkuu unaleta wasiwasi mkubwa kuhusu ufanisi wake, kwani historia inaonyesha kuwa kususia uchaguzi hakujawahi kuleta mabadiliko ya kidemokrasia yenye maana duniani. Badala yake, hatua hiyo inawanyima wananchi haki ya kupiga kura na kukiacha chama chake pembezoni mwa ulingo wa maamuzi.
Kwa upande mwingine, Jaji Warioba mnamo tarehe 10 Februari, 2025 alimshauri Lissu kuwa malalamiko yake kuhusu mfumo wa uchaguzi ni ya kweli, lakini ombi lake la kuahirisha uchaguzi kwa miaka mitatu halitekelezeki. Warioba alisisitiza kuwa mabadiliko ya kanuni za uchaguzi yanaweza kufanyika mara moja ili kurekebisha changamoto za kiutaratibu bila kususia uchaguzi mzima. Kwa kukataa ushauri wa viongozi hawa wazoefu, Lissu anaonekana kuendesha siasa za kibinafsi na za msimamo usio na tija kwa mustakabali wa nchi.
Lissu hafai kuwa kiongozi wa kitu chochote
Ifikie wakati ccm waheshimu maamuzi ya wananchi kuchagua viongozi wanao wapenda. Hizi mbinu zao za kitoto za kuiba kura na kuwashinikiza makarani kupiga kura za wagombea wao kwa kutumia majina ya wapiga kura waliosusia hilo zoezi, watambue fika zimepitwa na wakati.Sema No reforms no election,Lissu alicheza kama Pele, Heche amesema bila reforms hawaingii kwenye uchaguzi wa 2030, acha kiwake😁
Na lilikuwa jambo jema sana. Kauli za Lissu ndiyo zimepelekea watu kuuawa 29/10Ebu Ansbert Ngurumo (najua yupo humu) arudir kuusoma Uzi wake kama aliyoandika ndiyo yaliyotokea!
Kifupi ushauri waliompa Tundu Antipas Lissu si jambo jipya... Ni siasa za Mbowe tangu 1992.
Maridhiano, majadiliano, handshakes zenye utata na maslahi binafsi!
TAL na WaTanganyika hawataki ubabaishaji, hadaa na viongozi hewa!
NRE ili kauli mbiu tu (unique selling proposition), haikumaanisha kususia uchaguzi. Lissu ali misinterpret ndiyo imemdhuru yuko jelaNRNE si ililetwa na Mbowe baada ya uchaguzi kuvurugwa na CCM ile 2024? Lissu kusimamia hoja hiyo alikosea wapi?
Nakwambia NRNE ndio imeipa heshima chadema na lazima katiba mpya itapatikana kabla ya 2030. Maana Ccm wanajua wakizingua tena basi uchaguzi wa 2030 hautafanyika na pengine pakageuka uwanja wa vita.
Kupokea ni sawa na ni sahihi kabisa. Kukubali na kuufanyia kazi ni utashi binafsi kutokana na sababu mbalimbaliHeri wale wanaopokea ushauri maana maamuzi yao yanakuwa yanaepuka vihatarishi
View attachment 3655454
Tarehe 10 Februari 2025
View attachment 3655455
View attachment 3655456
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali, akitolea mfano wa siasa za Kenya. Hata hivyo, Lissu alipuuza somo hilo na kung'ang'ania kauli mbiu yake ya "Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi."
Msimamo huu wa kususia uchaguzi mkuu unaleta wasiwasi mkubwa kuhusu ufanisi wake, kwani historia inaonyesha kuwa kususia uchaguzi hakujawahi kuleta mabadiliko ya kidemokrasia yenye maana duniani. Badala yake, hatua hiyo inawanyima wananchi haki ya kupiga kura na kukiacha chama chake pembezoni mwa ulingo wa maamuzi.
Kwa upande mwingine, Jaji Warioba mnamo tarehe 10 Februari, 2025 alimshauri Lissu kuwa malalamiko yake kuhusu mfumo wa uchaguzi ni ya kweli, lakini ombi lake la kuahirisha uchaguzi kwa miaka mitatu halitekelezeki. Warioba alisisitiza kuwa mabadiliko ya kanuni za uchaguzi yanaweza kufanyika mara moja ili kurekebisha changamoto za kiutaratibu bila kususia uchaguzi mzima. Kwa kukataa ushauri wa viongozi hawa wazoefu, Lissu anaonekana kuendesha siasa za kibinafsi na za msimamo usio na tija kwa mustakabali wa nchi.
Lissu hafai kuwa kiongozi wa kitu chochote
Hashauriki au anasimamia kile anachokiamini ?
Unapokataa ushauri wa watu wazima kama Jaji Warioba na Raila Odinga ambao hawana masilahi na siasanza Tanzania, na umewafuata na kuwaomba ushauri, nao ni ukichaa.Kupokea ni sawa na ni sahihi kabisa. Kukubali na kuufanyia kazi ni utashi binafsi kutokana na sababu mbalimbali
Maaskofu wangu wa TEC (Nami ni muumini wa RC) tayari walikuwa wamechagua upande wa kushabikia wakiongozwa na Charles Kitima (anayejiita padre).Kwa nini mnataka Lissu akubali na siyo Samia. Sasa tumejulishwa kuwa Samia alikataa kukutana na Maaskofu mwaka jana kupokea ushauri.
Wasira tayari keshasema hawatafanya maridhiano na chama. Sasa hapo Lissu anaingiaje? Wamshauri Wasira kwanza.
Will they be ready for another mnukisho? It is up yo themSema No reforms no election,Lissu alicheza kama Pele, Heche amesema bila reforms hawaingii kwenye uchaguzi wa 2030, acha kiwake😁