Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

Unaweza ukasimamia kitu ambacho hakiwezekaniki, huo nao ni uikichaa
Ukisoma historia ya africa kusini utaona madhila waliyopata viongozi wa anc huku wazungu wakiamini waafrica kupewa madaraka ni kitu ambacho hakiwezekani. Mandela aliendelea kuamini kuwa haki yao haiko mbali na hata kama itabidi kufa kwa ajili ya kuhakikisha wenzake wanaishi maisha ya haki ni bora zaidi. Pateni muda kusoma ile speech yake wakati wa Rivonia trial! I am willing to die mtamwelewa Mh. Lissu
 
Maisha bora ya wananchi wa South Africa umeshayaona? Au tusubiri Yesu afufuke?
 
Kwa hiyo unyanyasaji na mauaji yaliyokuwa yanaendelea ni sawa? Wewe vipi kwa hiyo upo radhi jirani akupindue kutoka kuwa baba wa familia yeye awe ndio mzazi sababu ana hela. Maisha ya waafrika kusini ni much better leo kuliko wakati wa apartheid. Ukipata nafasi ya kwenda kule tembelea townships kama Guguletu pale cape town. Japo hawapo kama western cape lakini at least wana barabara, umeme na maji. Wakati wa apartheid walikuwa wanaishinkwenye sharks baada ya kunyanganywa nyumba zao. Member mkuu usikariri. Hata kama ni maisha mabaya leo lakini utu ni bora. Watu wana chuki leo siyo sababu hawana huduma za kijamii. Ni sababu wananyanyaswa, wanatekwa na kuuawa mixer kutwezwa utu wao mfano tumesikia kuna wengine wanalawitiwa.
Shame!
 
Tembelea na Alexandria au Tembisa pale Joburg uniambie kama yale ni maisha ta binadamu au wanyama.

Mbona uchaguzi wa mwisho ANC kura hazijutosha wakaamua kuwarudisha makaburu kwenye madaraka?
 
Siyo kwamba waliokuzaa walifanikiwa kutoa uchafu tu viunoni mwao ukapatikana mchafu wewe

Back
Top Bottom