zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mkuu mbona press ya Mbowe kutangaza NRNE ipo clear kabisa na ikasisitizwa na press ya kigaila. Hakuna aliyesema WATASUSIA uchaguzi, wote hawa walisema UCHAGUZI HAUTOFANYIKA!! Sasa kosa la Lissu ni nini? By the way mpaka anafungwa jela hata dirisha kwa uchaguzi halikua limefunguliwa.NRE ili kauli mbiu tu (unique selling proposition), haikumaanisha kususia uchaguzi. Lissu ali misinterpret ndiyo imemdhuru yuko jela
Na atawapasua vichwa vyenu hadi mzikimbie ofisi zenu.Hii siyo mada ya maridhiano bali inaonyesha jinsi Lissu alivyopasua kichwa
Kwa hiyo subiri usiwe na harakaUzuri wa msimamo unapimwa na matokeo
Mkuu mbona press ya Mbowe kutangaza NRNE ipo clear kabisa na ikasisitizwa na press ya kigaila. Hakuna aliyesema WATASUSIA uchaguzi, wote hawa walisema UCHAGUZI HAUTOFANYIKA!! Sasa kosa la Lissu ni nini? By the way mpaka anafungwa jela hata dirisha kwa uchaguzi halikua limefunguliwa.
Ushauri ni LAZIMA uufuate?????View attachment 3655454
Tarehe 10 Februari 2025
View attachment 3655455
View attachment 3655456
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali, akitolea mfano wa siasa za Kenya. Hata hivyo, Lissu alipuuza somo hilo na kung'ang'ania kauli mbiu yake ya "Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi."
Msimamo huu wa kususia uchaguzi mkuu unaleta wasiwasi mkubwa kuhusu ufanisi wake, kwani historia inaonyesha kuwa kususia uchaguzi hakujawahi kuleta mabadiliko ya kidemokrasia yenye maana duniani. Badala yake, hatua hiyo inawanyima wananchi haki ya kupiga kura na kukiacha chama chake pembezoni mwa ulingo wa maamuzi.
Kwa upande mwingine, Jaji Warioba mnamo tarehe 10 Februari, 2025 alimshauri Lissu kuwa malalamiko yake kuhusu mfumo wa uchaguzi ni ya kweli, lakini ombi lake la kuahirisha uchaguzi kwa miaka mitatu halitekelezeki. Warioba alisisitiza kuwa mabadiliko ya kanuni za uchaguzi yanaweza kufanyika mara moja ili kurekebisha changamoto za kiutaratibu bila kususia uchaguzi mzima. Kwa kukataa ushauri wa viongozi hawa wazoefu, Lissu anaonekana kuendesha siasa za kibinafsi na za msimamo usio na tija kwa mustakabali wa nchi.
Lissu hafai kuwa kiongozi wa kitu chochote
Kwa mtu kama wewe akisema hayo maneno ni dhahiri na bayana kuwa kinyume chake ndiyo sahihi.Lissu hafai kuwa kiongozi wa kitu chochote
Tatizo lako kubwa na wengi wa aina yako ni hili hapa. Sijui mnataka muambiweje ili muelewe kwamba mnalitumbukiza taifa hili katika janga lililoyakumba mataifa mengi.Maaskofu wangu wa TEC (Nami ni muumini wa RC) tayari walikuwa wamechagua upande wa kushabikia wakiongozwa na Charles Kitima (anayejiita padre).
Huyo Ansbert Ngurumo ni mpumbavu asiyejua kitu fala huyo. Ulitaka Lissu akubaliane na ujinga huo? Fala wewe na mpumbavu mkubwa usiye na akili.View attachment 3655454
Tarehe 10 Februari 2025
View attachment 3655455
View attachment 3655456
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali, akitolea mfano wa siasa za Kenya. Hata hivyo, Lissu alipuuza somo hilo na kung'ang'ania kauli mbiu yake ya "Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi."
Msimamo huu wa kususia uchaguzi mkuu unaleta wasiwasi mkubwa kuhusu ufanisi wake, kwani historia inaonyesha kuwa kususia uchaguzi hakujawahi kuleta mabadiliko ya kidemokrasia yenye maana duniani. Badala yake, hatua hiyo inawanyima wananchi haki ya kupiga kura na kukiacha chama chake pembezoni mwa ulingo wa maamuzi.
Kwa upande mwingine, Jaji Warioba mnamo tarehe 10 Februari, 2025 alimshauri Lissu kuwa malalamiko yake kuhusu mfumo wa uchaguzi ni ya kweli, lakini ombi lake la kuahirisha uchaguzi kwa miaka mitatu halitekelezeki. Warioba alisisitiza kuwa mabadiliko ya kanuni za uchaguzi yanaweza kufanyika mara moja ili kurekebisha changamoto za kiutaratibu bila kususia uchaguzi mzima. Kwa kukataa ushauri wa viongozi hawa wazoefu, Lissu anaonekana kuendesha siasa za kibinafsi na za msimamo usio na tija kwa mustakabali wa nchi.
Lissu hafai kuwa kiongozi wa kitu chochote
Huyu Warioba umemkumbuka leo, au siyo?Unapokataa ushauri wa watu wazima kama Jaji Warioba na Raila Odinga ambao hawana masilahi na siasanza Tanzania, na umewafuata na kuwaomba ushauri, nao ni ukichaa.
Kama una msimamo wako basi usipoteze muda wa wazee wa busara
Lissu si kiongozi wa nchi! Huyo kiongozi wa nchi mbona anafanya mauaji? Je muuaji ndie anayekufaa? Kama ndio hivyo, muuaji ndie Yuko madarakani na sio Lissu. Sioni hoja yako wala mashiko, kwani unachoongelea hakipo, Lissu si kiongozi wa nchi!View attachment 3655454
Tarehe 10 Februari 2025
View attachment 3655455
View attachment 3655456
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali, akitolea mfano wa siasa za Kenya. Hata hivyo, Lissu alipuuza somo hilo na kung'ang'ania kauli mbiu yake ya "Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi."
Msimamo huu wa kususia uchaguzi mkuu unaleta wasiwasi mkubwa kuhusu ufanisi wake, kwani historia inaonyesha kuwa kususia uchaguzi hakujawahi kuleta mabadiliko ya kidemokrasia yenye maana duniani. Badala yake, hatua hiyo inawanyima wananchi haki ya kupiga kura na kukiacha chama chake pembezoni mwa ulingo wa maamuzi.
Kwa upande mwingine, Jaji Warioba mnamo tarehe 10 Februari, 2025 alimshauri Lissu kuwa malalamiko yake kuhusu mfumo wa uchaguzi ni ya kweli, lakini ombi lake la kuahirisha uchaguzi kwa miaka mitatu halitekelezeki. Warioba alisisitiza kuwa mabadiliko ya kanuni za uchaguzi yanaweza kufanyika mara moja ili kurekebisha changamoto za kiutaratibu bila kususia uchaguzi mzima. Kwa kukataa ushauri wa viongozi hawa wazoefu, Lissu anaonekana kuendesha siasa za kibinafsi na za msimamo usio na tija kwa mustakabali wa nchi.
Lissu hafai kuwa kiongozi wa kitu chochote
Upuuzi..tangu lini Ushauri ukawa ni lazima??Tena mshauri wa maana huongea na kukusisitiza uunganishe na msimamo wako Kisha ufikie hitimisho mwenyewe..View attachment 3655454
Tarehe 10 Februari 2025
View attachment 3655455
View attachment 3655456
Raila Odinga na Jaji Mstaafu Joseph Warioba walitoa ushauri mzito kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, lakini aliuacha hewani kwa msimamo wake mkali. Tarehehe 22 Machi, 2025 Odinga alimkumbusha Lissu umuhimu wa maridhiano na mazungumzo ya kisiasa na serikali, akitolea mfano wa siasa za Kenya. Hata hivyo, Lissu alipuuza somo hilo na kung'ang'ania kauli mbiu yake ya "Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi."
Msimamo huu wa kususia uchaguzi mkuu unaleta wasiwasi mkubwa kuhusu ufanisi wake, kwani historia inaonyesha kuwa kususia uchaguzi hakujawahi kuleta mabadiliko ya kidemokrasia yenye maana duniani. Badala yake, hatua hiyo inawanyima wananchi haki ya kupiga kura na kukiacha chama chake pembezoni mwa ulingo wa maamuzi.
Kwa upande mwingine, Jaji Warioba mnamo tarehe 10 Februari, 2025 alimshauri Lissu kuwa malalamiko yake kuhusu mfumo wa uchaguzi ni ya kweli, lakini ombi lake la kuahirisha uchaguzi kwa miaka mitatu halitekelezeki. Warioba alisisitiza kuwa mabadiliko ya kanuni za uchaguzi yanaweza kufanyika mara moja ili kurekebisha changamoto za kiutaratibu bila kususia uchaguzi mzima. Kwa kukataa ushauri wa viongozi hawa wazoefu, Lissu anaonekana kuendesha siasa za kibinafsi na za msimamo usio na tija kwa mustakabali wa nchi.
Lissu hafai kuwa kiongozi wa kitu chochote
Warioba na Raila wapuuzi?Upuuzi..tangu lini Ushauri ukawa ni lazima??Tena mshauri wa maana huongea na kukusisitiza uunganishe na msimamo wako Kisha ufikie hitimisho mwenyewe..
Ukiona Mshauri analalamikia Ushauri wake kutofuatwa basi jua ana Matatizo..
Wewe ungesemaje hapa kama Lissu asingehitaji kabisa Ushauri kwa yeyote...angekuwa amevunja Sheria ipi?!!!
Nani aliruhusu wauliwe?Na lilikuwa jambo jema sana. Kauli za Lissu ndiyo zimepelekea watu kuuawa 29/10
Wewe unayelaumu Ushauri haukupokelewa ..kwani ni lazima?Jifunze kuwa na Maisha yako kwanzaWarioba na Raila wapuuzi?
Waliuliwa na Lisu?Na lilikuwa jambo jema sana. Kauli za Lissu ndiyo zimepelekea watu kuuawa 29/10
Safari hii watu wakisema uchaguzi haufanyiki, hautafanyika kweli.Wsipoingia sawa, Tanzania haiwezi kuwasubiri, tutawaacha kama tulivyowaacha 2025
Kwamba kauli ya Lissu ndiyo ilitoa amri watu wachukue silaha na kuwamiminia risasi wananchi wasiokuwa na silaha za moto?Na lilikuwa jambo jema sana. Kauli za Lissu ndiyo zimepelekea watu kuuawa 29/10
Jamaa siyo bure.Waliuliwa na Lisu?