Lissu hashauriki; Walishindwa Jaji Warioba na Raila Odinga kuhusu NRNE

Heri wale wanaopokea ushauri maana maamuzi yao yanakuwa yanaepuka vihatarishi
Unapokea ushauri halafu mwenzako kapanga kutangazwa kwa kura zaidi ya 30m za uongo.
 
Mungu kawapiga kibao wakati uchaguzi unafanyika Lissu na Heche walikuwa ndani, kwa akili zenu za kipolisi mlidanganyana wakiwa ndani mambo yataenda shwari, sa hivi mnalazimishia makosa, kosa lao nini wakati walikuwa kizuizini?

😂

Hili nalo haliwezi kuisha kijuu juu aisee, lazima muwajibike!
 
NRE ili kauli mbiu tu (unique selling proposition), haikumaanisha kususia uchaguzi. Lissu ali misinterpret ndiyo imemdhuru yuko jela
Tuambie basi interpretation nzuri ya NRNE
 
Limekwisha hilo katafute hela acha udwanzi
 
Kwa hiyo wewe ndio uliua?
Hapana ila najuwa CCP Moshi au CTU Monduli hawafundishi kupika chakula au kushona nguo.

Hivyo ukikutanq na mtu ana crown ya nembo ya Tz, mheshimu
 
Hapana ila najuwa CCP Moshi au CTU Monduli hawafundishi kupika chakula au kushona nguo.

Hivyo ukikutanq na mtu ana crown ya nembo ya Tz, mheshimu
Mwisho utafika mkuu kila lakheri
 
Na lilikuwa jambo jema sana. Kauli za Lissu ndiyo zimepelekea watu kuuawa 29/10
Acheni upumbavu si mliambiwa mapema kabisa Gwajima aliongea Mzee Warioba aliongea tena kwa kuonya mapema kabisa laiti mngewasikiliza msingenuka damu za WA Tanzania, badala yake mkategemea dola kama kawaida yenu
 
Mpumbavu ni huyo ambaye yuko jela na wanaompongeza ujuha
 
Nenda kaongoze wewe basi. Malipo kiduchu mtu mzima unavua ubongo
 
Acha UZUSHI.

Waliokataa ushauri ni CCM. Walikwepa wala hawakutaka kukutana na Warioba.... hiyo ni pamoja na Tume Huru ya CCM. Mzee Warioba alishaweka wazi hilo na jinsi gani walivyotaka kumzuia hata kutumia simu yake.
 
We unavyoona chadema ishakufa??
 
Sasa kama mtu anaringia mamlaka yake na wao wasidili na imani yao (novena)???
 
Acha UZUSHI.

Waliokataa ushauri ni CCM. Walikwepa wala hawakutaka kukutana na Warioba.... hiyo ni pamoja na Tume Huru ya CCM. Mzee Warioba alishaweka wazi hilo na jinsi gani walivyotaka kumzuia hata kutumia simu yake.
Huo sasa ndiyo UZUSHI maana unajisemea tu bila ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…