Lissu hataachiliwa na mahakama wala serikali, bali Mama mwenyewe au sisi wenyewe tukiamua

Lissu hataachiliwa na mahakama wala serikali, bali Mama mwenyewe au sisi wenyewe tukiamua

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Tunafeli hapa:

1. Nani asiyejua Lissu ni mwanzo wa mwisho wa wahuni? Kumbe anaachiliwa vipi ili aje kuwatia wao majaribuni?

2. Anapigwa vipi mwenzetu bila hatia hadharani tukishudia kama kuku wa kideli?

3. Vipi wanachaguliwa hawa wanaopigwa huku tukiangalia tu?

Pia soma: GE2025 - Kuelekea Sep 15: Macho yote kumchuzi, nyuzi nyingi kuhusiana na Lissu humu ziko kupima maji. Tujipange kusuka au kunyoa!

Pia soma:Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

Habari ndiyo hiyo.
 
Lissu bila wananchi awatatoka
 
Huyo hawezi kutolewa leo wala kesho

Nahisi atatolewa tarehe 7 Novemba, 2025 ama 10 Jumatatu mara baada ya huyu aliyepo kuapishwa baada ya Uchaguzi

Wamemwona ni threat kwa Utawala
 
Mtoa mada una hoja. Usikilizwe. Katiba iliyopo ni mbovu, na inampa mamlaka makubwa Rais kuteua watu wa mahakama, vyombo vya dola, nk. Ambao mwisho wa siku wanatumika kupindisha sheria, kukandamiza haki, kuonea watu wasio na hatia, nk.
 
Bada ya mama kuapishwa atatolewa na kuitwa ikulu kupewa abc za kufanya na wote tutasema nani km mama? ref mwambukusi amesema ameongea na mama suala la lisu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Huo ndio ukweli, maagizo ni kwamba lissu akae ndani hadi sa100 atakavyoamua vinginevyo...na ndivyo itakavyokuwa maana lissu sio mtu wa kuomba msamaha kwa makosa ya mchongo!
Lissu sio mbowe!.
 
viongozi wa chadema nao wanafeli. Waitisge maandamano sasa hivi watu bado wanachemka hasira.
Ila nahisi na wao wanaogopa disappointment ya wabongo 🥹
 
Back
Top Bottom