Lissu hawezi kufanya tofauti, kwa vile tatizo ni watanzania wenyewe

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,367
Reaction score
2,407
Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.

Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.

Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.

Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.

View attachment 3491973
Upeo wako wa ku-analyze mambo ni mdogo sana sana. Nothing can happen without leadership! Hao watu hawawezi kujikomboa kifikra bila kuongozwa. Mwanzo wa yote ni uongozi utaka-guard nchi kusonga mbele.
 
View attachment 3491973Hi(i

Hiki nakisemaga kila mara
 
Huenda Lissu anatetea maiti kesi ikiisha ataling'amua hilo.
limu ya kuunga-unga ya siku hizi inafanya wabongo wengi wawe na upeo mfupi, wavivu na kupenda short-cut. Katika waandishi ninaowakubali DUNIANI, mmoja ni Shaaban Robert. Miaka ya 1950 mwanzoni, alikuwa na mawazo bora kushinda watanzania 100 wa sasa. Umewahi kusoma kitabu chake cha Kusadikika? Kama bado basi kakisome, majibu ya kumuelimisha mwanzisha thread utayakuta yote...
 
Upeo wako wa ku-analyze mambo ni mdogo sana sana. Nothing can happen without leadership! Hao watu hawawezi kujikomboa kifikra bila kuongozwa. Mwanzo wa yote ni uongozi utaka-guard nchi kusonga mbele.
Ndio nimesema, nilivyomchambua LISSU hana uwezo wala mipango yeyote ya kuwakomboa watanzania kifikra.
 
Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.

Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.

Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.

Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.

View attachment 3491973
You have deliberately chosen to be obtuse.

What has Lissu always stood for?
Just systems, rule of law and a constitution that is for all of us. Let’s give credit when it due.

To say Lissu won’t save us is true, but then who will? Samia? 😆

In all fairness, Lissu is one person who time and time again has steered intellectual discourse-something not welcomed by the other side of the aisle. If anyone, we should all follow his footsteps, engage in intellectual discourse.
 
Upeo wako wa ku-analyze mambo ni mdogo sana sana. Nothing can happen without leadership! Hao watu hawawezi kujikomboa kifikra bila kuongozwa. Mwanzo wa yote ni uongozi utaka-guard nchi kusonga mbele.
Kwa system yetu, where does the leader come from? Is there any reason to believe that we can get the leadership we deserve, through that system?
 
Lissu ndio mtu sahihi,we unaamini hio video ya dakika tatu ndio ina majibu ya matatizo ya Afrika?
Sijasikia mahali walipozungumzia external influence ya mataifa tajiri katika kuharibu uchumi na siasa za Afrika kwa manufaa yao.

Unasema tatizo sio serikali ni watu?Lissu amefanya kazi kubwa kuwabadilisha watu mtazamo,unajua serikali ya sasa inateka na kuua watu wenye mtazamo wa kubadilisha mambo?watu waliobadilika kifikra ndio maadui wao
Lissu anataka watu wabadilike na mifumo ibadilike ili hata akitoka mtu imara akija dhaifu mifumo itamuongoza.
 
Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.

Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.

Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.

Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.

View attachment 3491973
Huna akili na bahati mbaya hujui akili huna

Tukitaka hata kesho tunapata.
Napenda kuamini hivyo, lakini hata hizo nchi mnzozisifu kuwa na demokrasia nzuri hasa katika kifanya uchaguzi na kubadilisha uongozi, bado wananchi wake hawana tofauti nasi.

Hali ni hiyo hiyo afrika nzima, Jiulize kwanini?
 
Wewe kusema kila mara haimaanishi ndiyo ukweli. “Taifa haliwezi kusonga mbele bila uongozi bora.” Hii ni fact ambayo huwezi kupingana nayo na ukitaka nikupeleke shule nitakupeleka.
Lissu ndio kiongozi bora? au ndio hao hao wa kujipatia sifa eti kwa kusema makundi ya watu badala ya kupigia upatu maendeleo. Rejea sakata la DP-World. Nilimdharau sanaaaa,
 
Back
Top Bottom