Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kuhusu Tundu Lissu. Tuliza boli kwanza.
Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.
Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.
Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.
Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.
View attachment 3491973