Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Upeo wako wa ku-analyze mambo ni mdogo sana sana. Nothing can happen without leadership! Hao watu hawawezi kujikomboa kifikra bila kuongozwa. Mwanzo wa yote ni uongozi utaka-guard nchi kusonga mbele.Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.
Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.
Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.
Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.
View attachment 3491973
Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.

View attachment 3491973Hi(i
Wewe kusema kila mara haimaanishi ndiyo ukweli. “Taifa haliwezi kusonga mbele bila uongozi bora.” Hii ni fact ambayo huwezi kupingana nayo na ukitaka nikupeleke shule nitakupeleka.Hiki nakisemaga kila mara
limu ya kuunga-unga ya siku hizi inafanya wabongo wengi wawe na upeo mfupi, wavivu na kupenda short-cut. Katika waandishi ninaowakubali DUNIANI, mmoja ni Shaaban Robert. Miaka ya 1950 mwanzoni, alikuwa na mawazo bora kushinda watanzania 100 wa sasa. Umewahi kusoma kitabu chake cha Kusadikika? Kama bado basi kakisome, majibu ya kumuelimisha mwanzisha thread utayakuta yote...Huenda Lissu anatetea maiti kesi ikiisha ataling'amua hilo.
Ndio nimesema, nilivyomchambua LISSU hana uwezo wala mipango yeyote ya kuwakomboa watanzania kifikra.Upeo wako wa ku-analyze mambo ni mdogo sana sana. Nothing can happen without leadership! Hao watu hawawezi kujikomboa kifikra bila kuongozwa. Mwanzo wa yote ni uongozi utaka-guard nchi kusonga mbele.
You have deliberately chosen to be obtuse.Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.
Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.
Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.
Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.
View attachment 3491973
Kwa system yetu, where does the leader come from? Is there any reason to believe that we can get the leadership we deserve, through that system?Upeo wako wa ku-analyze mambo ni mdogo sana sana. Nothing can happen without leadership! Hao watu hawawezi kujikomboa kifikra bila kuongozwa. Mwanzo wa yote ni uongozi utaka-guard nchi kusonga mbele.
Huna akili na bahati mbaya hujui akili hunaUkiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.
Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.
Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.
Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.
View attachment 3491973
Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra.
Hapo bado hatujafikia na si kwa Tanzania tu bali ni kwa Afrika nzima, na ndio maana mwisho wake viongozi nao wanaamua kula na vipofu tu.
Zingatieni usemi pendwa hapa JF "Hata profesa akiingia tu CCM, akili zake zote humtoka" Kifupi leo tunasema, ila ukweli ni kwamba akiingia katika SIASA.
Zingatia: Jaza GB na usikilize video hii mpaka mwisho. NI DAKIKA 3 TU.
View attachment 3491973
Ungefanya wewe ili tujue uwezo wako. Kukalisha migololi na ''kuchambua'' (soma kuchamba) hata mjinga hawezi kukuamini.Ndio nimesema, nilivyomchambua LISSU hana uwezo wala mipango yeyote ya kuwakomboa watanzania kifikra.
Tukitaka hata kesho tunapata.Kwa system yetu, where does the leader come from? Is there any reason to believe that we can get the leadership we deserve, through that system?
Napenda kuamini hivyo, lakini hata hizo nchi mnzozisifu kuwa na demokrasia nzuri hasa katika kifanya uchaguzi na kubadilisha uongozi, bado wananchi wake hawana tofauti nasi.Tukitaka hata kesho tunapata.
Lissu ndio kiongozi bora? au ndio hao hao wa kujipatia sifa eti kwa kusema makundi ya watu badala ya kupigia upatu maendeleo. Rejea sakata la DP-World. Nilimdharau sanaaaa,Wewe kusema kila mara haimaanishi ndiyo ukweli. “Taifa haliwezi kusonga mbele bila uongozi bora.” Hii ni fact ambayo huwezi kupingana nayo na ukitaka nikupeleke shule nitakupeleka.
Ni sisi wale wale ambao tunahitaji kiongozi kutubadilisha fikra? That sounds like the-egg-or-the-chicken paradox!Tukitaka hata kesho tunapata.