Lissu hawezi kufanya tofauti, kwa vile tatizo ni watanzania wenyewe

Kuhusu Tundu Lissu. Tuliza boli kwanza.
 
Lissu ndio kiongozi bora? au ndio hao hao wa kujipatia sifa eti kwa kusema makundi ya watu badala ya kupigia upatu maendeleo. Rejea sakata la DP-World. Nilimdharau sanaaaa,
Ona aibu we kabwela mwenzetu.

Lissu ni next level. Kila mtu anajua. Wamepita wengi wamemwacha ana shine
 
Mwanamke una roho mbaya wewe. Kama mchawi.
 
Ona aibu we kabwela mwenzetu.

Lissu ni next level. Kila mtu anajua. Wamepita wengi wamemwacha ana shine
Mmmmm! Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu ni next level. Kwangu ni hao hao tu kama akina M7. Kabla ya kuingia madarakani alinena kuwa tatizo la viongozi/marais wa Afrika ni kukaa sana madarakani. Ulipofika wakati wake akawa anabadili maneno tu, na sasa ni moja kati ya viongozi waliokaa sana madarakani.
 
Kuhusu Tundu Lissu. Tuliza boli kwanza.
Naelewa kuwa kumgusa T. Lissu, utatupiwa mawe sana. Lakini kwa sababu suala lenyewe linahusu Taifa kwanza, nipo tayari kujibu mapigo. Ukweli ni kwamba kuandamana kwa ajili ya TL sipo tayari, na wala si taki mtu ashawishike kufanya hivyo kama walivyofanya 2020 alipowamba wananchi waandamane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…