Lissu: Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni/Mungu ni wao

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo Wote!

Ikiwa ni kweli Lissu alifanya mambo hayo yote, kwa nia ya kweli, bila kujitukuza mwenyewe, kwa maslahi ya Watanzania na taifa hili. Bila kuingiza matamanio yake, bila kutumwa na mabeberu, bila kuwa na hila yoyote mbaya dhidi ya taifa hili/lake.

Kwamba Lisu aliamua kutetea Haki bila kutegemea Faida, sio ili awe Rais au ili apate cheo chochote au faida yake mwenyewe bali faida yake alitaka kuona Haki katika taifa hili. Kuona kwa macho yake kizazi bora katika taifa hili kabla ya kuingia mavumbini. Ikiwa hayo ni kweli yote. Basi Ufalme wa Mungu ni wake.

Na sisi watibeli tunakataa laana ya kumkataa mtu aliyetetea Haki ya taifa hili. Kwa kukaa kimya. Kwa kutojaribu kumsaidia aliyejaribu kutetea Haki. Mungu apishilie Mbali laana hizo kwa vizazi vyetu. Na aipeleke laana hizo kwa wale waliojua na kukaa kimya, waliofanya na kushiriki kuifukia na kuizima Haki. ikiwa ni kweli!

Tunajua Ufalme wa Mungu wapo nao wenye Haki. Na ufalme wa Mungu haupo tuu mbinguni(kwa tafsiri ya juu au rohoni tuu) bali ufalme wa Mungu upo Kote na popote siku zote.

Na mambo haya hatutahadithiwa bali tutashuhudia kwa macho yetu. Ikiwa ni kwelikweli!

Ikiwa kuna waovu hudhani sisi tutaogopa uovu wao, hila na ule udhaifu wao wauitao nguvu. Wakati ni nguvu bandia, na hakika ni nguvu bandia. Maana wao wenyewe wanajua hawana nguvu yoyote. Kile wanachokitegemea tunajua sio kitu chochote, wanategemea vitu visivyo na msaada. Hofu na woga vitaendelea kuishi kwao. Kwa sababu waovu hukimbia bila kukimbizwa.

Haki, hiyo ndio lugha pekee tunayoielewa. Hata wao wanahitaji hiyo Haki kwa maana Haki ni hitaji la kila Kiumbe. Wanaupenda uovu ambao wao wenyewe hawataki kufanyiwa. Lakini Haki itawapa maradufu ya kile wasichotaka kufanyiwa lakini wanawafanyia wengine.

Ikiwa ni Kweli, basi iendelee kuwa Kweli. Na kweli ihukumu kwa uaminifu na haki yote. Na haya yasifanyike kwa kuchelewa, ili Kweli iliyokweli ijulikane na kuonyesha uaminifu wake kwa wakati uliokweli.

Mathayo 5:10
10. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;
Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Blessed are they which are persecuted for righteousness' sake: for theirs is the kingdom of heaven.

Na Aya hiyo ni rejea tuu, wala haimaanishi chochote kwa Watibeli na wapenda Haki wengine. Kwa maana Ufahamu wetu na neno lake aliyetuumba lipo kwa kila mmoja wetu, kila kiumbe hai. Kheri wao ambao hawakugeuka waasi.

Nawatakia usiku Mwema wenye baraka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hamjambo Wote!

Ikiwa ni kweli Lisu alifanya mambo hayo yote, kwa nia ya kweli, bila kujitukuza mwenyewe, kwa maslahi ya Watanzania na taifa hili. Bila kuingiza matamanio yake, bila kutumwa na mabeberu, bila kuwa na hila yoyote mbaya dhidi ya taifa hili/lake.

Kwamba Lisu aliamua kutetea Haki bila kutegemea Faida, sio ili awe Rais au ili apate cheo chochote au faida yake mwenyewe bali faida yake alitaka kuona Haki katika taifa hili. Kuona kwa macho yake kizazi bora katika taifa hili kabla ya kuingia mavumbini. Ikiwa hayo ni kweli yote. Basi Ufalme wa Mungu ni wake.

Na sisi watibeli tunakataa laana ya kumkataa mtu aliyetetea Haki ya taifa hili. Kwa kukaa kimya. Kwa kutojaribu kumsaidia aliyejaribu kutetea Haki. Mungu apishilie Mbali laana hizo kwa vizazi vyetu. Na aipeleke laana hizo kwa wale waliojua na kukaa kimya, waliofanya na kushiriki kuifukia na kuizima Haki. ikiwa ni kweli!

Tunajua Ufalme wa Mungu wapo nao wenye Haki. Na ufalme wa Mungu haupo tuu mbinguni(kwa tafsiri ya juu au rohoni tuu) bali ufalme wa Mungu upo Kote na popote siku zote.

Na mambo haya hatutahadithiwa bali tutashuhudia kwa macho yetu. Ikiwa ni kwelikweli!

Ikiwa kuna waovu hudhani sisi tutaogopa uovu wao, hila na ule udhaifu wao wauitao nguvu. Wakati ni nguvu bandia, na hakika ni nguvu bandia. Maana wao wenyewe wanajua hawana nguvu yoyote. Kile wanachokitegemea tunajua sio kitu chochote, wanategemea vitu visivyo na msaada. Hofu na woga vitaendelea kuishi kwao. Kwa sababu waovu hukimbia bila kukimbizwa.

Haki, hiyo ndio lugha pekee tunayoielewa. Hata wao wanahitaji hiyo Haki kwa maana Haki ni hitaji la kila Kiumbe. Wanaupenda uovu ambao wao wenyewe hawataki kufanyiwa. Lakini Haki itawapa maradufu ya kile wasichotaka kufanyiwa lakini wanawafanyia wengine.

Ikiwa ni Kweli, basi iendelee kuwa Kweli. Na kweli ihukumu kwa uaminifu na haki yote. Na haya yasifanyike kwa kuchelewa, ili Kweli iliyokweli ijulikane na kuonyesha uaminifu wake kwa wakati uliokweli.

Mathayo 5:10
10. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;
Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Blessed are they which are persecuted for righteousness' sake: for theirs is the kingdom of heaven.

Na Aya hiyo ni rejea tuu, wala haimaanishi chochote kwa Watibeli na wapenda Haki wengine. Kwa maana Ufahamu wetu na neno lake aliyetuumba lipo kwa kila mmoja wetu, kila kiumbe hai. Kheri wao ambao hawakugeuka waasi.

Nawatakia usiku Mwema wenye baraka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hakika
 
Screenshot_20250803-214336~2.jpg
 
Hamjambo Wote!

Ikiwa ni kweli Lissu alifanya mambo hayo yote, kwa nia ya kweli, bila kujitukuza mwenyewe, kwa maslahi ya Watanzania na taifa hili. Bila kuingiza matamanio yake, bila kutumwa na mabeberu, bila kuwa na hila yoyote mbaya dhidi ya taifa hili/lake.

Kwamba Lisu aliamua kutetea Haki bila kutegemea Faida, sio ili awe Rais au ili apate cheo chochote au faida yake mwenyewe bali faida yake alitaka kuona Haki katika taifa hili. Kuona kwa macho yake kizazi bora katika taifa hili kabla ya kuingia mavumbini. Ikiwa hayo ni kweli yote. Basi Ufalme wa Mungu ni wake.

Na sisi watibeli tunakataa laana ya kumkataa mtu aliyetetea Haki ya taifa hili. Kwa kukaa kimya. Kwa kutojaribu kumsaidia aliyejaribu kutetea Haki. Mungu apishilie Mbali laana hizo kwa vizazi vyetu. Na aipeleke laana hizo kwa wale waliojua na kukaa kimya, waliofanya na kushiriki kuifukia na kuizima Haki. ikiwa ni kweli!

Tunajua Ufalme wa Mungu wapo nao wenye Haki. Na ufalme wa Mungu haupo tuu mbinguni(kwa tafsiri ya juu au rohoni tuu) bali ufalme wa Mungu upo Kote na popote siku zote.

Na mambo haya hatutahadithiwa bali tutashuhudia kwa macho yetu. Ikiwa ni kwelikweli!

Ikiwa kuna waovu hudhani sisi tutaogopa uovu wao, hila na ule udhaifu wao wauitao nguvu. Wakati ni nguvu bandia, na hakika ni nguvu bandia. Maana wao wenyewe wanajua hawana nguvu yoyote. Kile wanachokitegemea tunajua sio kitu chochote, wanategemea vitu visivyo na msaada. Hofu na woga vitaendelea kuishi kwao. Kwa sababu waovu hukimbia bila kukimbizwa.

Haki, hiyo ndio lugha pekee tunayoielewa. Hata wao wanahitaji hiyo Haki kwa maana Haki ni hitaji la kila Kiumbe. Wanaupenda uovu ambao wao wenyewe hawataki kufanyiwa. Lakini Haki itawapa maradufu ya kile wasichotaka kufanyiwa lakini wanawafanyia wengine.

Ikiwa ni Kweli, basi iendelee kuwa Kweli. Na kweli ihukumu kwa uaminifu na haki yote. Na haya yasifanyike kwa kuchelewa, ili Kweli iliyokweli ijulikane na kuonyesha uaminifu wake kwa wakati uliokweli.

Mathayo 5:10
10. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;
Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Blessed are they which are persecuted for righteousness' sake: for theirs is the kingdom of heaven.

Na Aya hiyo ni rejea tuu, wala haimaanishi chochote kwa Watibeli na wapenda Haki wengine. Kwa maana Ufahamu wetu na neno lake aliyetuumba lipo kwa kila mmoja wetu, kila kiumbe hai. Kheri wao ambao hawakugeuka waasi.

Nawatakia usiku Mwema wenye baraka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam

Ukweli 100%
 
MUNGU YUPO NA LISU DAIMA POPOTE PALE.ALIMWOKOA NA RISASI 16 NA ADUI ZAKE KUANGAMIA NA HILI ATAMWOKOA MIKONONI MWA WATESI WAKE
 
Amina,Mungu atulinde wapenda HAKI!
 
Demokrasia imefeli. Boniface Mwangi na Agatha walifirwa na pt. We don't have any other choice theater than kuingia msituni
 
“Death smiles at us all, All a man can do is smile back.”

Inatuma ujumbe kwamba kifo si cha kuogopwa bali cha kukumbatiwa kama sehemu ya safari ya mtu anayeishi kwa misingi ya ukweli na haki.
============================+======================

AND FINALLY
It was somehow chaotic in the court room when the alleged was presenting his trial committal proceedings before being taken to the high court
Here below is brief cut interrogation between the accused and Mr Franco Kiswaga, The Kisutu Resident Magistrate ​

Tundu Lissu: Mashahidi wangu ni Bi SAMIA Suluhu Hassan (Rais JMT) , Philip Isidory Mpango (VP - JMT) na Kassimu Majaliwa (PM - JMT) waje waseme niliwatisha vipi...

Hakimu Franco Kiswaga: kwa hao mashahidi siwezi kuandika.

Tundu Lissu: Utajua wewe kama utaandika au utaacha mimi nanendelea.
🫵🏾😂

Huku Nassoro Katuga Wakili wa Jamhuri akashika tama na kupigwa butwaa🤔🤔🤔. Yuko hoi bin taabani ni kama kapigwa TKO ambayo hakuitegemea..​
20250814_235017.jpg

I see light at the end of the tunnel...

HAKI ni kama NURU na Nuru kamwe haipatani na giza. Nuru ya HAKI ikitokea na kuangaza, giza la uovu hukimbia...

Hakuna kesi...

Hanyongwi mtu

Hafi mtu...
 
Hamjambo Wote!

Ikiwa ni kweli Lissu alifanya mambo hayo yote, kwa nia ya kweli, bila kujitukuza mwenyewe, kwa maslahi ya Watanzania na taifa hili. Bila kuingiza matamanio yake, bila kutumwa na mabeberu, bila kuwa na hila yoyote mbaya dhidi ya taifa hili/lake.

Kwamba Lisu aliamua kutetea Haki bila kutegemea Faida, sio ili awe Rais au ili apate cheo chochote au faida yake mwenyewe bali faida yake alitaka kuona Haki katika taifa hili. Kuona kwa macho yake kizazi bora katika taifa hili kabla ya kuingia mavumbini. Ikiwa hayo ni kweli yote. Basi Ufalme wa Mungu ni wake.

Na sisi watibeli tunakataa laana ya kumkataa mtu aliyetetea Haki ya taifa hili. Kwa kukaa kimya. Kwa kutojaribu kumsaidia aliyejaribu kutetea Haki. Mungu apishilie Mbali laana hizo kwa vizazi vyetu. Na aipeleke laana hizo kwa wale waliojua na kukaa kimya, waliofanya na kushiriki kuifukia na kuizima Haki. ikiwa ni kweli!

Tunajua Ufalme wa Mungu wapo nao wenye Haki. Na ufalme wa Mungu haupo tuu mbinguni(kwa tafsiri ya juu au rohoni tuu) bali ufalme wa Mungu upo Kote na popote siku zote.

Na mambo haya hatutahadithiwa bali tutashuhudia kwa macho yetu. Ikiwa ni kwelikweli!

Ikiwa kuna waovu hudhani sisi tutaogopa uovu wao, hila na ule udhaifu wao wauitao nguvu. Wakati ni nguvu bandia, na hakika ni nguvu bandia. Maana wao wenyewe wanajua hawana nguvu yoyote. Kile wanachokitegemea tunajua sio kitu chochote, wanategemea vitu visivyo na msaada. Hofu na woga vitaendelea kuishi kwao. Kwa sababu waovu hukimbia bila kukimbizwa.

Haki, hiyo ndio lugha pekee tunayoielewa. Hata wao wanahitaji hiyo Haki kwa maana Haki ni hitaji la kila Kiumbe. Wanaupenda uovu ambao wao wenyewe hawataki kufanyiwa. Lakini Haki itawapa maradufu ya kile wasichotaka kufanyiwa lakini wanawafanyia wengine.

Ikiwa ni Kweli, basi iendelee kuwa Kweli. Na kweli ihukumu kwa uaminifu na haki yote. Na haya yasifanyike kwa kuchelewa, ili Kweli iliyokweli ijulikane na kuonyesha uaminifu wake kwa wakati uliokweli.

Mathayo 5:10
10. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;
Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Blessed are they which are persecuted for righteousness' sake: for theirs is the kingdom of heaven.

Na Aya hiyo ni rejea tuu, wala haimaanishi chochote kwa Watibeli na wapenda Haki wengine. Kwa maana Ufahamu wetu na neno lake aliyetuumba lipo kwa kila mmoja wetu, kila kiumbe hai. Kheri wao ambao hawakugeuka waasi.

Nawatakia usiku Mwema wenye baraka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
heri wenye kiburi waliokosa utii kwa sheria na mamlaka za nchi, maana hao watawajibishwa na kushikishwa adabu kwa mujibu wa sheria hizo hizo wanazokiuka,

heri waasi na waropokaji wanaokiuka sheria za nchi kwa makusudi, maana hao, jela na kunyongwa ndio haki yao ya msingi kwa mujibu wa sheria 🐒
 
Mkuu usichukulie kila jambo ni mzaha!
Ingekuwa kheri kwako kuacha tabia hiyo
 
Back
Top Bottom