NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sisi wamachinga tunammaindi sana huyu Lissu.anataka kutuzibia riziki kwa taamaa zake za urais.
kwanza hatumpi kura zetu.
kwanza hatumpi kura zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machinga huwafuata wateja waliko Lisu anataka kuwalazimisha wafungue maduka wasitembee kuwafuata wateja waliko wakae tu Kama gogo la mnazi kusubiri mteja !!!
Umachinga hauendi Kama Lisu anavyotaka hataweza hata angekuwa Raisi
Jibu rahisi tu machinga tarehe 28 Oktoba ni kumnyima kura yeye na chama chake
kwahiyo unakubaliana na sera ya Tundu kuwatimua wamachinga?Machinga wamekuwa kero Magufuli amejifanya mfuata sheria lakini kwa hili la kila mtanzania kuwa Machinga hakika ni hatari
Serikali inapoteza mapato mengi Sana ya Kodi kwa kuruhusu kila mtanzania kuwa Machinga.
Huyo alikuwa muwakilishi tu. Nyuma yake kuna watu waliomtumasema wewe sio sisi
Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa
Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.
Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.
Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.
Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.
Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.
Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.
Machinga huwafuata wateja waliko Lisu anataka kuwalazimisha wafungue maduka wasitembee kuwafuata wateja waliko wakae tu Kama gogo la mnazi kusubiri mteja !!!
Umachinga hauendi Kama Lisu anavyotaka hataweza hata angekuwa Raisi
Jibu rahisi tu machinga tarehe 28 Oktoba ni kumnyima kura yeye na chama chake
Mkinga aliyekua na akili ni TUNTEMEKE SANGA tuuImeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa
Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.
Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.
Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.
Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.
Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.
Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.
Yaani wewe miaka zaidi ya 55 ya Uhuru bado serikali yako inatoa ahadi zisizo tekelezeka na una sapoti upumbavu.Tundu na chama chake hawawajui watanzania wala hawajui watanzania wanataka nini....
Nautamani usiku wa October 28, 2020 mnoooo
"Miaka 59 tangu tupate Uhuru mtu bado unahubiri kuleta maji? Sasa kazi ya Serikali ni Nini?"Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa
Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.
Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.
Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.
Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.
Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.
Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.
SasaMachinga wamekuwa kero Magufuli amejifanya mfuata sheria lakini kwa hili la kila mtanzania kuwa Machinga hakika ni hatari
Serikali inapoteza mapato mengi Sana ya Kodi kwa kuruhusu kila mtanzania kuwa Machinga.
Serikali inayoiita ya ovyo ndio imepambana mpaka sasa Tanzania inaheshimikaSasa
Huku mijini Cha mtoto...migodini mtu ana mashine 2@8m...anamiliki Gest ya 4m..mapatoyake ni zaidi ya 20m kwa mwaka lakini shingoni kaninginiza kitambulisho Cha machinga...na watu tulikatiwa bila shuruti..jaman Kuna majitu ni mazumbukuku...Tena mmenikumbusja nirenew mie!..serikali ya ovyo mno hii..pyee
Hahaha ulituambia Magufuli anashinda , vipi mpaka sasa unanaje mashamblizi?!PROPA...…………………………………………..GANDA!
"Usuku wa October 28" kuna nini mama D .Tundu na chama chake hawawajui watanzania wala hawajui watanzania wanataka nini....
Nautamani usiku wa October 28, 2020 mnoooo
Kumbe wamachinga ni hamnazo kweli, yaani mnaangalia Leo tu hamuangalii kesho. Sasa nyie ni uzalendo gani kwa nchi yenu mlionao. Maana uchafuzi wa mazingira mnaoufanya ndo uzalendo kwenu?Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa
Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.
Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.
Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.
Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.
Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.
Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.
Wale machinga wa Kariakoo wanatembea kufuata Wateja? Acheni kupotoshaKwa hii pointi ya Lissu amejidanganya sana. Siyo kwamba machinga hawavioni nyumba vya kuweka biashara zao bali wanatembea maksudi ili wawakute wateje kokote waliko. Hivyo kuwambia wasiwafuate wateja hiyo Lissu kajidanganya