Uchaguzi 2020 Lissu hutaweza kututoa wamachinga mitaani

Sisi wamachinga tunammaindi sana huyu Lissu.anataka kutuzibia riziki kwa taamaa zake za urais.
kwanza hatumpi kura zetu.
 
Hiyo tafsiri yake ni kwamba kwenye swala la machinga uwezo wetu wakufikiri umefika tamati.Swala la utitiri wa machinga unaenda sanjari na ukuaji wakiuchumi,sasa kama uchumi uko chini na sekta zingine hazifanyi vizuri ni lazima machinga waongezeke na kwasababu hakuna utaratibu au mfumo rasmi wanajikuta wamejilundika sehemu moja au kuzurura mitaani kutwa nzima nabado hajauza chochote kwasababu wateja nao hali mbaya.Tungekua na sera nzuri na rafiki yakiuchumi hili la machinga lingejisolve lenyewe kwasababu sekta binafsi ingekua na biashara ingeimarika na uwezo wakuuza nakununua ungeongezeka.Ukiangalia nguvu kazi ya vijana wenye nguvu iliyojilundika kwenye umachinga utagundua uko kwenye sekta zingine kama kilimo na viwanda hali ni mbaya.Hivi vitambulisho sio suluhisho kwasababu vinamnufaisha zaidi anayevitoa kuliko machinga mwenyewe.Nikama wafanya biashara wadogo wameambiwa mkajifie wenyewe uko.Sasa hii ni 2020 tumeshindwa kuweka mfumo wakibiashara unaoleweka kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa vip miaka 20 ijayo hali itakuaje.
 
1600151244962.png
 
Machinga huwafuata wateja waliko Lisu anataka kuwalazimisha wafungue maduka wasitembee kuwafuata wateja waliko wakae tu Kama gogo la mnazi kusubiri mteja !!!

Umachinga hauendi Kama Lisu anavyotaka hataweza hata angekuwa Raisi

Jibu rahisi tu machinga tarehe 28 Oktoba ni kumnyima kura yeye na chama chake

Wamachinga kama wamachinga ni kweli wanatembeza bidhaa zao, na wanawafuatawateja majumbani au wakutane nao barabarani.
Wamachinga wa leo, wenye vitambulisho ni tofauti na hao wa kutembeza bidhaa. Wa siku hizi wanamaduka, na wengine wemejenga vibada hadi kwenye barabarara, mitaro ya maji machafu, na wengine wamepanga bidhaa zao kwenye njia/barabara na kusababisha usumbufu kwa watumia wanaopita. Mbaya zaidi wanaweka biashara yao mbele ya duka la mtu mwingine na kuzuia hata wateja wasipate namna yakupata huduma kwenye hayo maduka.
 
Machinga wamekuwa kero Magufuli amejifanya mfuata sheria lakini kwa hili la kila mtanzania kuwa Machinga hakika ni hatari

Serikali inapoteza mapato mengi Sana ya Kodi kwa kuruhusu kila mtanzania kuwa Machinga.
kwahiyo unakubaliana na sera ya Tundu kuwatimua wamachinga?
 
Atakuja chizi mwenzako na kuanzisha thread yake hapa, "LISSU HUWEZI KUTUFANYA TUSITEMBEE KILOMITA 5 KUFATA MAJI"

Kutojitambua ni jambo baya kuliko utumwa!
 
Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa

Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.

Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.

Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.

Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.

Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.

Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.

Kwani Sasa mmetoka?
 
Machinga huwafuata wateja waliko Lisu anataka kuwalazimisha wafungue maduka wasitembee kuwafuata wateja waliko wakae tu Kama gogo la mnazi kusubiri mteja !!!

Umachinga hauendi Kama Lisu anavyotaka hataweza hata angekuwa Raisi

Jibu rahisi tu machinga tarehe 28 Oktoba ni kumnyima kura yeye na chama chake

Always Rais ndio mtengeneza plan, kwani mzee magu angesema wamachinga wasitembee je wangetembea?
 
Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa

Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.

Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.

Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.

Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.

Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.

Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.
Mkinga aliyekua na akili ni TUNTEMEKE SANGA tuu
 
Tundu na chama chake hawawajui watanzania wala hawajui watanzania wanataka nini....
Nautamani usiku wa October 28, 2020 mnoooo
Yaani wewe miaka zaidi ya 55 ya Uhuru bado serikali yako inatoa ahadi zisizo tekelezeka na una sapoti upumbavu.
Ngoja uugue ndiyo utajua ,kama inakujali ama vipi..?
 
Watanzania wamezoea umasikini na hali za hovyo hovyo na hapo ndipo mtaji wa CCM ulipolala.
 
Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa

Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.

Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.

Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.

Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.

Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.

Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.
"Miaka 59 tangu tupate Uhuru mtu bado unahubiri kuleta maji? Sasa kazi ya Serikali ni Nini?"

- Mzee Michael Kipanga
 
Machinga wamekuwa kero Magufuli amejifanya mfuata sheria lakini kwa hili la kila mtanzania kuwa Machinga hakika ni hatari

Serikali inapoteza mapato mengi Sana ya Kodi kwa kuruhusu kila mtanzania kuwa Machinga.
Sasa
Huku mijini Cha mtoto...migodini mtu ana mashine 2@8m...anamiliki Gest ya 4m..mapatoyake ni zaidi ya 20m kwa mwaka lakini shingoni kaninginiza kitambulisho Cha machinga...na watu tulikatiwa bila shuruti..jaman Kuna majitu ni mazumbukuku...Tena mmenikumbusja nirenew mie!..serikali ya ovyo mno hii..pyee
 
Serikali inayoiita ya ovyo ndio imepambana mpaka sasa Tanzania inaheshimika
 
Imeandaliwa na Umoja wa Wamachinga Iringa

Kauli ya mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahidi kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga kwenye mitaa mbalimbali ya miji na majiji tunaipinga vikali kwasababu inataka kutuingiza kwenye umasikini.

Katika kampeni zake, Lissu alisema kuwa wamachinga wamekuwa wakifanya biashara katika mitaa na kuzuia hadi maduka ya watu. Kwamba akiingia atawahamisha mitaani ili akawajengee nje ya mji.

Alipoingia madarakani Rais Magufuli aliamua kubuni mbinu ya kuwarasimisha wamachinga na wengine wakiwemo mama na babalishe ambao mitaji yao iko chini ya shilingi millioni nne ili wafanye biashara rasmi bila kubughudhiwa na mgambo wa miji na majiji lakini Lissu anasema atafuta vitambulisho hivyo na kuwaondoa wajasiriamali kutoka maeneo waliopo sasa.

Ahadi hii ya Lissu inadhihirisha jinsi gani asivyo mzalendo na nchi yake kwani alipaswa kufikiri kwa kuzungumza juu ya namna gani atafanya ili kuendeleza hatua nzuri alizotufikishia Rais Magufuli na sio kuja na maneno ya kuturudisha nyuma.

Katika Awamu ya Tano, wamachinga tumepata fursa nyingi ikiwemo mikopo, uhuru wa kufanya shughuli zao na hata bima za afya mambo ambayo hatukuwahi kufikiria kuyapata. Tunajisikia faraja kuwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya nchi kutokana na kodi tunayolipa na kufarijika kuona huduma mbalimbali za kijamii zinaboreshwa kupitia hili.

Sisi tutaendelea kuunga juhudi za Rais Magufuli na Serikali ya CCM kwani imekuwa ikitusikiliza na kushirikiana nasi katika kutatua kero zetu. Tutailinda misingi ya uzalendo iliyootoshwa na Serikali kwetu wamachinga, katu Lissu hatoweza kuivunja kwani imeota mizizi.
Kumbe wamachinga ni hamnazo kweli, yaani mnaangalia Leo tu hamuangalii kesho. Sasa nyie ni uzalendo gani kwa nchi yenu mlionao. Maana uchafuzi wa mazingira mnaoufanya ndo uzalendo kwenu?
Ukienda saizi Kariakoo ule ni uchafu sio biashara. Yaani nyie wamachinga kujiangalia nyie tu huo sio uzalendo ni ubinafsi. Nyie wamachinga elimikeni maendeleo hayaji kwa siku moja, mnaofanya katikati ya mji ni uchafu huo
 
Kwa hii pointi ya Lissu amejidanganya sana. Siyo kwamba machinga hawavioni nyumba vya kuweka biashara zao bali wanatembea maksudi ili wawakute wateje kokote waliko. Hivyo kuwambia wasiwafuate wateja hiyo Lissu kajidanganya
Wale machinga wa Kariakoo wanatembea kufuata Wateja? Acheni kupotosha
 
Back
Top Bottom